Ufahamu mtambo wa kisasa wa kuzuia makombora wa Marekani unaoiumiza kichwa Uchina

Duh nazani itakuwa ndo chanzo cha vita ya tatu mana mataifa makubwa yanajihami sana na ndo kilichotabiriwa bible tuombeni ndugu dunia tutaiacha
 
Duh nazani itakuwa ndo chanzo cha vita ya tatu mana mataifa makubwa yanajihami sana na ndo kilichotabiriwa bible tuombeni ndugu dunia tutaiacha
 
Inauma inasikitisha maovu yanazid ulimwenguni wao hawazuii Bali wanazid kuchochea vita but ndokilichoandikwa kwenye ufunuo wa yohana nikazi yashetani kuteka watu ufahamu
 
THAAD inaweza kua defeated labda na Hypersonic missiles ila sio supersonic missiles. Kwanza THAAD interceptor yenyewe ni mwendo wake ni 8 times the speed of sound.
Sorry, it was supposed to be hypersonic and not supersonic. Zirco travels at a speed of 7400km/h. No known existing missile has that speed and this is the reason why all world powers are soiling their pants now. If THAAD had the capability to intercept Zirco, that would have not been the case. Read for yourself to update yourself of the latest advancement in missile technology.
 
Mkuu sio kweli kwamba eti hakuna kombora linaloizid hilo Zircon kukimbia kwa Speed hyo. China wana DF 21D(carrier killer) yenyewe speed yake ni Mach 10 yaaani Mara kumi zaid ya mwendo wa sauti wakat hilo zircon speed yake ni Mach 6 yaani mara sita zaid ya speed ya sauti.
Tena mmarekani kwa kuiogopa hilo kombora la mchina ndo akaboresha mifumo yake ya ulinzi kwa meli zake toka SM-2 kwenda SM-3 IIB ambapo ina Range ya zaid ya 2500km. Bado akaja na SM-6 ,SeaRAM, yote hyo ni kwa ajili ya meli zake pia ulinzi kwa aircraft carriers zake.
 
Back
Top Bottom