Ufahamu mkasa wa kifo cha utata cha mwanamke wa Isdal ulioishangaza dunia (sehemu ya 1)

Sasa mkuu movement zake kwenye nguo, na saa unazipataje mkuu

Msaada pls
Spies wanaponunua chochote chenye lebel huwa wanazitoa lebel ili kama kitapatikana popote, ikiwa alikisahau au akihisi yupo hatarini, kisiwe mzigo anapo wapotea adui zake. lebel mara nyingi huwa zinaonyesha routine ( mienendo ya mtu kutoka point A kwenda B,C,D n.k. angalia thread yako, kama yule muuza duka asingejitokeza , wasingegundua zile nguo za eneo la mauaji alinunulia wapi.
Wauaji walimvua nguo na viatu saa heleni ili kupata movement zake za awali, ili kama ana wenzake wawanase , hawakupata ndio maana walivitelekeza.
 
Dah mkuu 4G LTE hii Makala ya leo hii ni hatari sana mzee baba

ila nasikitika sikupata notification japo naona ulinitag sasa sijui shida ni nini aisee

nimejipata tu nikiwa naperuzi nikafika hapa

anyhow mkuu usiache kuwa unaniita kwenye hizi Makala zako zinanikosha sana aisee

japo ya leo uwii inasisimua Fulani na kuogopesha ogopesha,ngoja niusake mwendelezo mkuu…..
 
duh mkuu 4G LTE huu msala aisee

ila wenzetu wametuacha mbali sana sidhani kama nzchi zetu za kiafrica kuna upelelezi mrefu kama huo umeshwahi kufanyika,esp kwa mtu ambaye alikufa kitambo na akatelekezwa,kama upo mtu atuhabarishe jamani,au na hao wenzetu walipeleleza kwa sababu walihisi kiko connected na masuala ya nchi yao? kwamba hata sisi aafrica kama ikitokea mtu kajifia kitambo na akawa connected na maswala ya nchi upepelezi yakinifu utafanyika?

As for me nadharia ya tatu inaleta logic Zaidi aliuawa na ni wazi kuwa alikuwa shushushu maana kwa route hizo na codes na kila kitu alichokuwa connected nacho ushushu haumwachi salama,sema na waliomuua nao sijui walitumia mbinu gani uwiii dunia hii kuna watu na profession zao aisee

Thanks a lot mkuu kwa mada fikirishi kama hizi ubongo unagain vitu mpya kwa mfumo wa simulizi unajikuta tu na wewe ushakuwa mpelelezi gafla wanavopata taabu na maswali maafisa wa Norway na we mlemle

as usual naomba nisisahaulike kuitwa maana nshakuwa addicted na Makala zako

All the best mkuu
 
Hongera mkuu, mimi hupenda sana kufuatilia hizi issue, mlolongo Mzima unawanyooshea kidole mossad. Ikumbukwe ktk kipindi hicho katika spy network zote duniani, waliokua juu ktk intelligencia ni mossad, na hiyo ni kwa sababu walikua wanatumia kila njia kujikusanya na kujihami baada ya ile holocast au genocide ( mauaji aliyofanya Hitler dhidi ya wayahudi) ukiangalia sehemu na mazingira plus hauba ya victim, huyo alikua ni spy hatari, zaidi ile kukutana na wajerumani hotelini , inaelezea kwamba ni mtu wao . na kawaida hakuna nchi ambayo hukubali mtu wao baada ya kukamatwa au kuuwawa kwamba ni wa kwao. Waisraeli walikua na operation nyingi sana katika nchi za Ujerumani, Norway, Poland, na nchi zote walizokuwa wakikusanywa wayahudi.
Inawezekana aliuwawa kwa gesi ya sumu, moto ni kuvuruga ushahidi pamoja na vidonge navyo ni kupoteza ushahidi.
Inawezekana walimshikilia na kumpulizia gesi kisha kummezesha vidonge au walianza na vidonge, gesi za sumu zilikua zikiua ndani ya sekunde chache na kukausha damu na nyingi zilikua untraceable.
NB: kwa uelewa wangu katika kusoma vitabu vya mossad na uwindaji wao wa Nazists.
mkuu Zionist mkuu Zionist ulifikiria kama mimi kuwa nchi zote zilizoulizwa lazima kuna mojawapo alikuwa mtu wao,sema wanakubalije kama wanajua alikuwa shushushu wao?na the fact that waliulizwa ni ushahidi tosha kuwa maafisa wa norwway hawakuwa wamepata chochote cha kuwasadia kuwajulisha identity ya huyo mwanamke,hivyo ni wazi kuwa mataifa yote yaliyoulizwa yangeuma mfupa maana hakuna cha kuwasidia kutrace moja kwa moja kwamba anatokea nchi Fulani.
Spies wanaponunua chochote chenye lebel huwa wanazitoa lebel ili kama kitapatikana popote, ikiwa alikisahau au akihisi yupo hatarini, kisiwe mzigo anapo wapotea adui zake. lebel mara nyingi huwa zinaonyesha routine ( mienendo ya mtu kutoka point A kwenda B,C,D n.k. angalia thread yako, kama yule muuza duka asingejitokeza , wasingegundua zile nguo za eneo la mauaji alinunulia wapi.
Wauaji walimvua nguo na viatu saa heleni ili kupata movement zake za awali, ili kama ana wenzake wawanase , hawakupata ndio maana walivitelekeza.
mkuu Zionist au na we mpelelezi jamani duh :oops:
 
duh mkuu 4G LTE huu msala aisee

ila wenzetu wametuacha mbali sana sidhani kama nzchi zetu za kiafrica kuna upelelezi mrefu kama huo umeshwahi kufanyika,esp kwa mtu ambaye alikufa kitambo na akatelekezwa,kama upo mtu atuhabarishe jamani,au na hao wenzetu walipeleleza kwa sababu walihisi kiko connected na masuala ya nchi yao? kwamba hata sisi aafrica kama ikitokea mtu kajifia kitambo na akawa connected na maswala ya nchi upepelezi yakinifu utafanyika?

As for me nadharia ya tatu inaleta logic Zaidi aliuawa na ni wazi kuwa alikuwa shushushu maana kwa route hizo na codes na kila kitu alichokuwa connected nacho ushushu haumwachi salama,sema na waliomuua nao sijui walitumia mbinu gani uwiii dunia hii kuna watu na profession zao aisee

Thanks a lot mkuu kwa mada fikirishi kama hizi ubongo unagain vitu mpya kwa mfumo wa simulizi unajikuta tu na wewe ushakuwa mpelelezi gafla wanavopata taabu na maswali maafisa wa Norway na we mlemle

as usual naomba nisisahaulike kuitwa maana nshakuwa addicted na Makala zako

All the best mkuu
Usijali mkuu.... Naanda moja kama hii ilitokea huko Australia usikose kabisa...
 
mkuu Zionist mkuu Zionist ulifikiria kama mimi kuwa nchi zote zilizoulizwa lazima kuna mojawapo alikuwa mtu wao,sema wanakubalije kama wanajua alikuwa shushushu wao?na the fact that waliulizwa ni ushahidi tosha kuwa maafisa wa norwway hawakuwa wamepata chochote cha kuwasadia kuwajulisha identity ya huyo mwanamke,hivyo ni wazi kuwa mataifa yote yaliyoulizwa yangeuma mfupa maana hakuna cha kuwasidia kutrace moja kwa moja kwamba anatokea nchi Fulani.

mkuu Zionist au na we mpelelezi jamani duh :oops:
Mimi sipo huko Mkuu, ila napenda kuwafuatilia sana. Wenzetu huwa wanaachia baadhi ya mission zilizofanywa na ma agents wao , wanapoona hazina madhara.
 
kwa ninachokiona hao walomtuma ndo walomuua either kazi yake ilikua ishaisha au kuna namna walisense amejiexpose so siri zao zitakua wazi!Nimewaza hivi kutokana na namna alivyofika hapo kwenye mlima!Inaonekana alifika kiroho safi na force ilitumika na mwili hauonyeshi kama alikabwa au alitekwa bali unajaribu kuonyesha namna ya kifo chake
Kwa nilivyowaza huyo dada alifika hapo na watu alowaamini alafu wakammaliza hapo!
 
Kwenye shingo yake kulikuwa na mikwaruzo flani ambayo haikujulikana amefanyiwa nini... Maana pia kwenye autopsy kifo cha kukabwa/kunyongwa hujulikana pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom