Ufahamu mgogoro sugu wa ardhi kati taifa la Israel (Uyahudi) na Palestina (Kanaani)

Nimeipenda hii mana imeongelea Ki historia sio kidini.

Kuna watu wakiskia Palestina akili yake anawaza kutetea dini ya kiislam.
Alafu kuna watu wakiskia Israeli yee akili yake iko kwenye Ukristo(Hasa walokole ndo wanahizi kauli kudai Taifa teule wakati wanao ishi humo ndani Ndo adui namba moja wa Kristo)

Ma ugomvi ya ardhi sio salama ,hata huku kwetu nchini tumeona familia nyingi zikigombana kisa babu alimuachia mtu flani kiwanja ajenge nae badae anataka kuongeza zaidi na kujiona ndo mmiliki. Au wengine kujimilikishia ardh.
TOHATO uko sawa watu wengi wapiga kelele hasa walokole hawajui kuwa hata kuna Wapaletina na wakristo.Hata Marehemu Yasser Arafat kiongozi wa Wapalestina alikuwa muislam lakini mke wake alikuwa Mkristo.
Watu wengi wakisikia tu neno Wayahudi wanakimbilia kusema Wakristo kisa tu eti sababu YESU alikuwa Myahudi.Hawajui kuwa dini kubwa Israel ni JUDAISM na wako wapingaji wakubwa wa Ukristo na waliomsulubu YESU ni wayahudi hao hao.Kuthibitisha hili angalia bendera ya taifa la Israel utaona lina nyota flani zimechorwa zina maana yake ingekuwa ni taifa la Kikristo angalau ungekuta Msalaba.
Neno Israeli ni taifa teule ni kuwapa kichwa japo ni ukweli na uwazi usiofichika Israeli na uchache wao ni watu waliojaliwa na kipaji kikubwa cha akili na ndio maana hata Mmarekani anawadekeza maana wataalamu wake wa anga za juu kilimo udaktari na mengine mengi kama kina Mark Zuckeberg na Severino waanzilishi wa Facebook ni wamarekani wenye asili ya Uyahudi hata na Mgunduzi Albert Eistein.Hii hata upande wa Urusi wataalam ni watu wa Israel.Hata raisi wa Ukraine ni Myahudi.
 
Yeap kuhusu Ethiopia nasikia ni kweli
Waisrael wa Africa wako Ethiopia wanaitwa Falashians au wafalasha hiki kizazi kinatokana na Kiongozi mwanamke malkia alikuwa anaitwa Sheba alisikia habari za Mfalme wa Uyahudi aliyekuwa na mali nyingi na akili na busara nyingi akaamua kwenda kumtembelea kule Israel alikaa muda kadhaa akabeba mimba akarudi Africa Ethiopia akamzaa Meneleki basi huyo Menelek ndio uzao wake ukaendelea hadi kufikia kina Haile Selasie na wengine kwa sasa
 
Tunapozungumzia Historia ya PALESTINE na ISRAEL ...tumefanya tafiti za kutosha za kihistoria ......Sasa ninapomuona Mtu mmoja mweusi aliyejazwa mafundisho ya Visaasili ( Mythology) vya dini Kichwani na moyoni alafu MTU huyo anataka kuleta hoja za KIPUMBAVU na kitumwa naamua kupuuzia tu

Kwasababu PALESTINE sio Dini ... PALESTINE ni nchi yenye WAPALESTINA Wakristo , WAPALESTINA wayuda, WAPALESTINA Waislamu na WAPALESTINA wasio na Dini .
Kwahiyo hapa hoja Ni Hutu ( Conscience) ...

Sasa unapomuona Mtumwa wa Fikra ( kuku wa israel wa Afrika)...aliyejazwa mafundisho ya Visaasili vya dini na propaganda ili atumike kulinda maslai ya MAZAYUNI kupitia Wachungaji ( Walimu) wake inakuwa inafedhehesha bara letu la Afrika...

Huwezi kupinga,kuhoji au kutoa maoni kuhusu issue ya PALESTINE na ISRAEL Kama hujui kuhusu mambo YAFUATAYO

1.Khazaria Ashkenazi Jews

2.Historia ya Zionism movement na tabia zake

3.Azimio la BALFOUR DECLARATION OF 1917..

4.Uganda Scheme of 1903.

5.Proposals for a Jewish state ( Maeneo yaliyokoswa koswa kuwa israel na TANZANIA ilikuwa miongoni)

6.FAKE AND STAGED HOLOCAUST JEWS FROM 230000 TO 6.5 MILION JEWS ( LIES)

7. HISTORIA YA OTTOMAN EMPIRE AND MANDATE PALESTINE CHINI YA muingereza.

9.Nini maana ya "SS EXODUS ? ya 1947 ??

10.UNO Resolution 181(II) la 1947 tarehe 29th November Tukio lililofanyika lilikuwa linahusu nini??

11.14th may 1948 kulitokea Tukio gani ??

12. 1950s Israel na MAREKANI kwanini walianzisha neno UGAIDI na MAGAIDI ???

13.UKATIRI, UBAGUZI, MAUAJI , UBOMOAJI MAKAZI ,NA UKOLONI WA KUTUMIA JESHI uliofanyika Kuanzia 1948 Hadi leo

14. Tofauti Kati ya WAISRAEL ( watu weusi) na WAYAUDI ( Zionists yaani wazungu na walowezi kutoka ulaya)

15.Ni Kwanini MAREKANI ndo lilkuwa Taifa la kwanza kuitambua Israel ??

16. Kwanini Wanaharakati wote walioleta Uhuru barani Afrika WALIKATAA kuitambua Israel ....hata Mwl.Nyerere ????

Sasa Hapo unaweza kutoa hoja lakini Kama umejazwa chuki, Visaasili vya dini na Udini huwezi kujadili la maana kuhusu ISRAEL na PALESTINE ...sanasana utaishia kusema " ATAYEBARIKI ATABALIKIWA ATAKAYELAANI ATALAANIWA " as if Mungu ni Mkabira.

Jifunze Historia kupitia INSTAGRAM @tabarokaijage

au Whatsup kupitia 0757790650

Ahsante
Daaa! weye jombi una kitu nimeshakiona akilini mwako! hasa hii number 6!.........Any way tukiangalia neno ''Utumwa; Biblia/qurani vimeliongelea sana hili jambo la utumwa sana,

hata hao! hao wayahudi walikuwa watumwa miaka 400 nchini Misri, sasa hiyo si michache mjue wan JF, ni vizazi na vizazi, mjue kuwa kwa mateso yale ya wana wa Israel

yamkini hata wayahudi wengine wengi walitorokea kwenda maeneo jirani! jirani! na Misri mnayajua Tanzania ikiwemo je hao walikuwa weupe yaani wazungu? Jamii ya watumwa pekee iliyouzwa ktk nchi wasizo zijua wao km wao ni

Jamii za watu weusi tu Duniani koooote! kamwe si weupe(wazungu). hao walikuwa wakifungwa minyoror/pigwa jua tu, wanazimia, mpaka leo iko ivo ndo maana wanatumia AC majumbani/magarini Mpaka leo...

Kwa maana hiyo wale wazungu walikuwa wakichukuliwa kwenye majahazi/kulima mashambani walikuwa wanakufa woote tena km nzi tu! ngoma ikahamia kwa weusi!

sasa wana JF tujiulize! ni wapi/Lini Mzungu alifungwa Minyororo kunako majahazi kwenda kuuzwa utumwani?? na unyoro!nyoro ule ni kufa dakika sifuri??

NASEMA HIVI!!
WAISRAEL WALEE ORIGINAL KABILA LA YESU! WALIKUWA UTUMWANI MISRI NA NDO HAO!! HAO !! WALIORUDISHWA UTUMWANI KULEKULE MISRI NA MPAKA LEO HII NAPOANDIKA HAPA,

WAKO UTUMWANI! LKN WALIO WENGI NI MBUMBU HAWAJIJUI KABISAAA! TENA BASI WANAABUDU WASICHOKIJUA- ILA IKO SIKU MOJA TU WAKIJUA UKWELI HUU WATALIA SANA!!

Nina mengi ila ngoja nikomee hapa
 
15.Ni Kwanini MAREKANI ndo lilkuwa Taifa la kwanza kuitambua Israel ??
Vizazi vya Watoto/wajukuu na vitukuu /vilembwe wao walee Matajiri wakubwa wa UK/USA/France nk, wale wauza watumwa sugu!... hao! hao walipokomesha Biashara ya utumwa,

ikaonekana Taifa teule halipo Babu zao waliliua kabisaa! wakaona hiyo fursa wakawahi kumiliki nchi na hilo jina! ...ki-Biblia limetajwa kabisa kuwa ni sinagogi la shetani, Nyerere/Mandela /Nkwame nk, walijua

ndo hao hao walio ongopea Dunia yesu ni Mzungu!... asa km yesu ni Mzungu lazima atokee kwenye jamii ya kizungu ambayo ndo hao!hao Matajiri tokana na kuuza watu weusi! leo Mnaabudu msicho kijua!
 
Back
Top Bottom