Ufahamu mdogo Magonjwa ya Akili kuhusishwa na Ushirikina

Joshua Deus

Member
Jul 16, 2021
50
21
Na Joshua Deus

Miongoni mwa watanzania walio wengi wame athiriwa na Mila za makabila yao,imani za dini au madhehebu wanayo amini Hadi Mambo ya kiafya wanayahusianisha na Mila zao.

Ugonjwa wa Akili (mental disorder) umekua ni ugonjwa unao aminika kuwa hupatikana kwa kurogwa kwa Imani za jamii ya watu wengi.

(Cyzofrenia) ni ugonjwa wa Akili ambao umewakumba jamii ya watu wengi na husababishwa na matumizi ya dawa za kulevya yaani bangi, cocaine n.k,lakini pia ugonjwa huu unasabishwa na kurithi kutoka kwenye ukoo Kama endapo Kuna mtu ana vinasaba vya ugonjwa huu.

Dalili za ugonjwa huo muathirika anaweza kufanya vitu vigeni mfano kuongea lugha ambayo hakuwai kuijua kua mtu wa ajabu mithili ya mtu mwenye pepo wachafu
Matibabu

Ugonjwa huu unatibika mapema endapo muathirika atawaishwa hospitali kwa matibabu,lakini Kama amechelewa Kuna dawa ambazo mgonjwa hutumia ili kumfanya mgonjwa apaye ahueni na kijitambua

Jamii ya watanzania inapaswa kutambua maradhi ya Magonjwa yanatakiwa kupata kutolewa ufafanuzinna madaktari nakuto yahusisha moja kwa moja na Imani za kishirikina
 
Kuna Bi-polar,wengi wanaumwa huu ugonjwa wa Akili na hawajui.Nahisi jamaa aliempiga Shaba mtu Sinza alikuwa ana hii shida.Dalili kuu ni Grandiosity mtu akiwa yupo high,na akiwa yuko low huweza kijidhuru mwenyewe ama hata kujiua.

Elimu inahitajika.
 
Haswa Bi-polar pia ni ugonjwa wa Akili mtu ana badirika nilibahatika kufanya interview na daktari wa Magonjwa ya akili,hospitali ya rufaa temeke kitengo Cha watu walio athirika na madawa ya kulevya na Magonjwa ya akili alisema kwamba vituo vinavyo toa huduma hiyo no vichache vina hesabika si zaidi ya 10 Tanzania mzima,ndio maana ugonjwa huu unaonekana kua kitu kigeni Ila watu wanaishi nao wengine wanaita mwezi mchanga
 
Na Joshua Deus

Miongoni mwa watanzania walio wengi wame athiriwa na Mila za makabila yao,imani za dini au madhehebu wanayo amini Hadi Mambo ya kiafya wanayahusianisha na Mila zao.

Ugonjwa wa Akili (mental disorder) umekua ni ugonjwa unao aminika kuwa hupatikana kwa kurogwa kwa Imani za jamii ya watu wengi.

(Cyzofrenia) ni ugonjwa wa Akili ambao umewakumba jamii ya watu wengi na husababishwa na matumizi ya dawa za kulevya yaani bangi, cocaine n.k,lakini pia ugonjwa huu unasabishwa na kurithi kutoka kwenye ukoo Kama endapo Kuna mtu ana vinasaba vya ugonjwa huu.

Dalili za ugonjwa huo muathirika anaweza kufanya vitu vigeni mfano kuongea lugha ambayo hakuwai kuijua kua mtu wa ajabu mithili ya mtu mwenye pepo wachafu
Matibabu

Ugonjwa huu unatibika mapema endapo muathirika atawaishwa hospitali kwa matibabu,lakini Kama amechelewa Kuna dawa ambazo mgonjwa hutumia ili kumfanya mgonjwa apaye ahueni na kijitambua

Jamii ya watanzania inapaswa kutambua maradhi ya Magonjwa yanatakiwa kupata kutolewa ufafanuzinna madaktari nakuto yahusisha moja kwa moja na Imani za kishirikina
Mwendazake alikuwa na huu ugonjwa
 
Unamaanisha schizophrenia.
 
Kuna Bi-polar,wengi wanaumwa huu ugonjwa wa Akili na hawajui.Nahisi jamaa aliempiga Shaba mtu Sinza alikuwa ana hii shida.Dalili kuu ni Grandiosity mtu akiwa yupo high,na akiwa yuko low huweza kijidhuru mwenyewe ama hata kujiua.

Elimu inahitajika.
Na ikiwa bipolar 1 ambayo iko kwenye manic episode, anakuwa talkative sana, goal oriented. Hana haja ya usingizi anaweza kukesha anaimba au anafanya kitu fulani ili mradi aonekane yupo busy, hapa atakwambia natengeneza kitu ambacho kitatatua changamoto fulani kwenye jamii. Wengi wao wanapenda sana kuongea kingereza hata Kama ameishia form c.
 
Na Joshua Deus

Miongoni mwa watanzania walio wengi wame athiriwa na Mila za makabila yao,imani za dini au madhehebu wanayo amini Hadi Mambo ya kiafya wanayahusianisha na Mila zao.

Ugonjwa wa Akili (mental disorder) umekua ni ugonjwa unao aminika kuwa hupatikana kwa kurogwa kwa Imani za jamii ya watu wengi.

(Cyzofrenia) ni ugonjwa wa Akili ambao umewakumba jamii ya watu wengi na husababishwa na matumizi ya dawa za kulevya yaani bangi, cocaine n.k,lakini pia ugonjwa huu unasabishwa na kurithi kutoka kwenye ukoo Kama endapo Kuna mtu ana vinasaba vya ugonjwa huu.

Dalili za ugonjwa huo muathirika anaweza kufanya vitu vigeni mfano kuongea lugha ambayo hakuwai kuijua kua mtu wa ajabu mithili ya mtu mwenye pepo wachafu
Matibabu

Ugonjwa huu unatibika mapema endapo muathirika atawaishwa hospitali kwa matibabu,lakini Kama amechelewa Kuna dawa ambazo mgonjwa hutumia ili kumfanya mgonjwa apaye ahueni na kijitambua

Jamii ya watanzania inapaswa kutambua maradhi ya Magonjwa yanatakiwa kupata kutolewa ufafanuzinna madaktari nakuto yahusisha moja kwa moja na Imani za kishirikina
Ule wa Ndugai ndo unaitwaje? Je unatibika? Mbali ya yale ambayo tumeyashuhudia je ni yapi madhara mengine ya ugonjwa wake? Je hawezi kuvua nguo pale mbele ya vichaa wengine wa kijani?
 
Kinukweli sina uhakika endapo Ana ugonjwa huo lakini Kama anao ugonjwa hauangalii upo wapi na unafanya nin
 
Back
Top Bottom