Ufahamu kuhusu taasisi Ya mikopo Platinum Credit

stacygab

Member
Jan 12, 2019
16
4
Ninaomba msaada kwa mwenye uelewa wa hii taasisi, mwaka 2013 nilichukua mkopo kwenye taasisi hii (platinum) mwaka 2014 nikahamisha deni kwenda taasisi nyingine (malipo yalifanyika )..baada ya kupita miezi miwili nikajikuta kuna kiasi cha pesa bado nakatwa na hii taasisi (platinum), nimefatilia bila mafanikio.

ninaomba mwenye uelewa wa mikopo hii aweze kunisaidia nifatilie wapi sehemu husika ili niweze pata haki yangu
 
Yaani unakatwa mkopo mmoja taasisi 2?nawewe upo kizembe zembe embu tia roba huyo meneja uone kama hajasitisha makato.

Hao jamaa ni makanjanja sana, maofisa wao wenyewe form 2 shule hakuna.
 
Hawa jamaa ni wababaishaji sana niliwahi kukopa 2millioni but nililipa almost 3million, Zaidi yz 50% interest, in short ni wezi
 
Back
Top Bottom