Du mkuu wapi huko unaponunulia, maana mi nilikuwa shinyanga juzi gharama kama ifuatavyomimi nilikuwa mdau wa biashara hiyo huko nyuma ila bado naifuatilia kwani kuna watu wanaifanya mfano mwaka huu hadi sasa gunia sehemu nyingi linauzwa 45,000,ushuru 3000,usafiri 5000,wabebaji hapo bado gharama za store za kuuhifadhi ambazo kwa gunia ni 4000!!!
1.Bei 60,000
2.Usafiri 2000
3.Upakiaji pandisha +shusha 1000
Hamna ushuru, pia gharama za kutunza bure maana unakobolea hapo hapo. nasikia igunga bei iko 36,000/gunia japo sina uhakika