Asantheeee mkuuu nmekupata bila chengaaa kbs@T.O.DDyf.. hizo gari zenye namba hizo zinauzwa kwa maana ya namba mfano T.FSS 101 ni namba ya yard flani ya magari mfano Kuna kampuni inaitwa Image motors wanatumia namba T.IMG 101, Unapoenda kununua gari na ukataka kutest wanakuwekea namba hio mpaka usajili wako ukamilike then unaitudisha kwao, so ni namba za kampuni zinazouza magari
Nashukuru maana hata mimi nilikuwa blind kwenye hilo..Dyf.. hizo gari zenye namba hizo zinauzwa kwa maana ya namba mfano T.FSS 101 ni namba ya yard flani ya magari mfano Kuna kampuni inaitwa Image motors wanatumia namba T.IMG 101, Unapoenda kununua gari na ukataka kutest wanakuwekea namba hio mpaka usajili wako ukamilike then unaitudisha kwao, so ni namba za kampuni zinazouza magari