Ufahamu aina hii ya kahawa na unavyoweza kutibu Presha


D

Damalu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2009
Messages
254
Likes
46
Points
45
D

Damalu

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2009
254 46 45
Mara nyingi chanzo kikuu cha Presha ni mafuta kugandamana kwenye mishipa ya damu
Yaani mafuta unavyozidi kukaa kwenye mishipa ya damu inasababisha mishipa hiyo kupungua kwa ukubwa wake unapelekea moyo kutumia nguvu nyingi sana kusukuma damu
Au damu inakuwa umekaa mafuta na kusababisha moyo kutumia nguvu kubwa kusukuma damu kwa sababu damu inakuwa nzito

Red Yeast Coffee
Hii ni kahawa iliyotengenezwa na Mchele mwekundu
Inaitwa kahawa kwasababu ya namna inavyoandaliwa na harufu yake lakini kiuhalisia haina caffeine na imetengenezwa pasipo kuweka viambata vyenye kemikali ya aina yoyote

Kazi kubwa ya kahawa hii
Ni kahawa iliyoyengenezwa na mchele mwekundu inasaidia
Kuondoa lehemu/cholesterol na kusafisha mishipa ya damu
Kazi kubwa ya kahawa hii ni kuhakikisha mafuta yote yaliyogandia kwenye mishipa ya damu yanaondoka na kuacha mishipa ikiwa safi na kuiruhusu damu kupita vizuri

Ni nzuri na inasaidia sana wanaosumbuliwa na Presha

• Haina sukari na bafo inladha nzuri ukiitumia
• Inaongeza kinga ya mwili
• Inapunguza kiwango cha sukari kwenye damu
• Inasaidia kuupa mwili oxgen na kusawazisha PH ya mwili
• Inasaidia mzunguko wa damu kuwa mzuri na kuzalisha cell
• Inasaidia kuongeza kumbukumbu
• Inapunguza presha
• Inaongeza nguvu za tendo la ndoa na kuongeza msisimko
• Inaondoa allergy miwasho na mauvimbe
• Inasaidia kupata usingizi mzuri
• Inaondoa makunyanzi kwenye ngozi hasa usoni (inapambana na uzee)
 

Attachments:


Forum statistics

Threads 1,238,726
Members 476,123
Posts 29,327,770