UFAFANUZI:WANAWAKE vs MAJINI/MASHETANI/MIZIMU/MAPEPO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UFAFANUZI:WANAWAKE vs MAJINI/MASHETANI/MIZIMU/MAPEPO

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Teamo, Nov 14, 2011.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,282
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  salaam wakuu wangu....!

  it's been looong tyme since i posted a thread herein..!lakin haina mbaya kiviile manake makamanda mnawakilisha kama ilivyo ada...!

  STRAIGHT TO THE TOPIC:...

  nimeangalia sana kwa uchunguzi wangu wa muda mrefu nikagundua kuwa:

  1-asilimia kubwa sana ya wanawake wanaandamwa na majini/mashetani/mizimu/mapepo....!hii nimeifuatilia sana kuanzia makanisani,misikitini,hadi uraiani kwenye maisha ya kawaida ya kiswazi.

  2-wanawake ndo watu pekee wenye hofu ya mwenyezi mungu..(makanisani wamejaa wao,misikitini,mikutano ya injili,jumuiya ndogondogo n.k)


  sasa mi nashindwa kuelewa wala kuziunganisha hizo hoja mbili hapo juu
  ....ina maana kwamba:

  1-yani kwamba yani yani hawa wakina mama yani kwamba......dah!?

  2-au kwamba yani yani kwamba yani inawezekana na wao kwamba yani dah.....!


  mnisaidie wakuu....!

  ANGALIZO:sina ni yoyote ya kuwahumiliate wanawake
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Mti wenye Matunda ndio urushiwao mawe, na mwamba wenye madini ndio huchorongwa!...nadhani nimeeleweka!
   
 3. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Hahahha Teamo bana!

  ngoja nikupe siri, wanawake wengine huwa si mapepo ni hysteria tu. Shtuka
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,569
  Likes Received: 21,084
  Trophy Points: 280
  wanawake wote wana mapepo....
  inasemekana wanapokuwa kwenye periods ndo mapepo huwaingia

  ile damu chafu inawavuta mapepo

  ndo maana kuna madhehebu mwanamke akiwa kwenye siku zake hatakiwi kutembea tembea..

  na siku zikiisha,anatakiwa afanye maombi maalum

  na wengine wakiwa kwenye siku wanakuwa na mood swings ,yote hayo sababu ya mapepo...
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Huuuh! makubwa!
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,569
  Likes Received: 21,084
  Trophy Points: 280
  wewe ni atheists sio?
  huwezi elewa haya....
  eti stuka,huachi kabisa naona ..
   
 7. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  @Boss
  huyu ni wewe au kivuli chako?
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,569
  Likes Received: 21,084
  Trophy Points: 280
  mada inahusu mapepo
  na mimi nimejibu kuwa 'inasemekana'
  huelewi nini hapo?
   
 9. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Boss hebu kuwa muwazi hueleweki

  Wanawake wengi wanapata hysteria na kwa sie tusojua sayansi husika tunafikiri mapepo.

  Hiyo ya wanawake wote wanavutia mapepo ndo naipata kwako......nieleweshe :]
   
 10. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Umeanza na "wanawake wote wana mapepo" kisha ndo ikaja inasemekana

  Sasa mimi nataka hapo wewe ulipokuwa na uhakika .....:]
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,569
  Likes Received: 21,084
  Trophy Points: 280
  nilicho ongea ni according to 'some religious teachings'
  ndo maana nikakuuliza wewe ni atheist?????
   
 12. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Lete hayo maandiko ya dini yanayosema wanawake wana mapepo kwanza
   
 13. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #13
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Teamo bana dah haya

  Leo umekuja na "MAPEPO" Hii thread ngumu kumeza

  Off topic: Mbona umepotea sana aisee
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,569
  Likes Received: 21,084
  Trophy Points: 280
  usianze ligi now
  tuseme 'inasemekana'
  sawa?
   
 15. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #15
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,024
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  dou!!! alolo
   
 16. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #16
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,161
  Likes Received: 3,275
  Trophy Points: 280
  Tobaaaa
   
 17. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #17
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Sasa si tunaeleweshana. Unambie inasemekana tu bila ya kunambia wanatumia ushahidi gani, nikiuliza ishakuwa ligi tena!

  Haya bana, nakuacha na myths zako.....allegedly wanawake wote wanamapepo
   
 18. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #18
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,329
  Likes Received: 591
  Trophy Points: 280
  Wanawake ni malango kwa mujibu wa dini...ndio maana majini/mapepo nk hupitia kwao...
   
 19. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #19
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mmmh!!!!!
   
 20. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #20
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Lete andiko
   
Loading...