VeroEretico
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 504
- 387
Wakuu mwenye kujua haya mambo naomba anipe mwanga kuwa mitihani hii inafanyiwa wapi, na kwani ni lazima uifanye ndio upate scholarship? Je kama hapa kwetu Tz masomo yote yanafundishwa kwa English kuna uhitaji wa kufanya hii mitihani ya proficiency in English tests (IELTS, TOEFL and Pearson ).