Ufafanuzi wa kisheria watolewa kufuatia kujiondoa kwa Jaji Elinaza Luvanda kesi ya uhujumu uchumi na ugaidi wa Freeman Mbowe na wenzake..

Nafkiri swala la mikutano, wangeheshimu huo wito wa kukutana ma IGP na msajili, kwani unaposema sheria imesema mnapeleka taarifa kwa ocd ni ili kurahisisha mchakato tu lakininuhalisia OCD yupo chini ya RPC na RPC yupo chini ya IJP, hivyo ocd akipigwa stop na wakubwa zake hawezi kukiuka maagizo,hivyo ni vyema mkakutana na top bosses ili kutengeneza namna bora/utaratibu kwa nchi nzima.pia kwa nyongeza ya uelewa mwenye mamlaka na utendaji wa jeshi la polisi ni IJP, hayo mengine ni katika kurahisisha taratibu za utendaji kwani huwezi kutegemea kila kibali/barua zote zielekezwe kwa IJP, ndio maana kuna makamishna,rpcs,ocds,rtos etc
Ni kweli ocd Yuko chibi ya hao uliowataja. Lakini nadhani kama atazuia hiyo mikutano ya vyama vya siasa kwa kufuata maagizo kinyume na sheria anaweza kushitakiwa kama eye.
 
Mimi sijui kwasababu sikuwepo mahakamani. Cha ajabu ni kwamba hata wale ambao walikuwepo mahakamani hawaelezi jinsi judge alivyojiongoza katika kufikia decisions alizozifanya. Nasita kuamini kwamba judge anaweza kutoa unreasoned decision. Ndiyo maana nikasema tukipata nakala ya/za hiyo/hizo ruling(s), kuna maswali yatajibika kwa urahisi.
Ndugu, hii kesi ni ya kutengeneza ili hawa watawala waondoe kile wanachodhani kikwazo kwao kutawala kwa amani yaani CHADEMA/Freeman Mbowe tu...

But, their plan was poorly coordinated and therefore leading to poor implementation....

Sasa wamepoteana, hawaonani. Ni aibu tupu...!!

Ni bahati mbaya sana kuwa, baadhi ya mahakimu/majaji (MSISITIZO: sijasema wote, nimesema baadhi) wamekubali kushiriki mchezo huu hatari hata kuuchafua mhimili wote wa mahakama....!

Taabu ya Jaji Elinaza Luvanda kutoa maamuzi ya haki mbele ya sheria, yameathiriwa na msingi wa kesi yenyewe ambao ni UONGO WA MASHTAKA kiasi ambacho mwendesha mashtaka na Mawakili wa serikali wakashindwa kuutengeneza na kuutetea uongo wao na kumpelekea Jaji ambae naye ni sehemu ya plan hiyo haramu kuvurunda kujaribu kupindisha sheria machana kweupe bila haya...!!!

Na UONGO siku zote ni uongo tu. Huwa ni ngumu sana sana kujaribu kuupaka paka rangi ili ugeuke ukweli hususani kwenye maswala serious kama ya kudhulumu Uhuru, haki na uhai wa watu wengine...!
 
Once you have prejudged a matter it’s extremely hard to see the other side. Hata malaika wa Mungu akishuka kusikiliza hii kesi, kuna watu mtaukataa uamuzi wake, kama huo uamuzi ni wa kumtia Ayatollah Mbowe hatiani.
 
Ni kweli ocd Yuko chibi ya hao uliowataja. Lakini nadhani kama atazuia hiyo mikutano ya vyama vya siasa kwa kufuata maagizo kinyume na sheria anaweza kushitakiwa kama eye.
Kwani utendakazi wa jeshi lolote ni nini zaidi ya "amri na utekelezaji" ambavyo ndio hilo unalosema maagizo na maelekezo ambayo ni lazima atii.na wao wana uwanda mpana wa kukataa kwa sababu zao za kiintelijensia ambazo hawalazimiki kuzisema hadharani.so mkutano wa pamoja na viongozi wa juu ni muhimu na nashauri wapinzani wasisuse,kwani hawatapata suluhu
 
@ Mgeni wa Jiji.

Hayo maelezo yako hapo juu yanavunja sheria nyingine, mojawapo ni ile inayomtaka mtuhumiwa afikishwe mahakamani saa 48 baada ya kukamatwa na kuchukuliwa maelezo, wewe unachotaka hapa ni akae ndani muda wote mpaka charge iwe amended.

Mbowe ndie mwenye haki mpaka hapo kesi ilipofikia, kama unabisha mpaka hilo all the best, hii kesi ina mambo mengi nje ya taaluma yanaingilia kati, na usilazimishe haki zako kwa kukandamiza za wengine hasa ukizingatia mashtaka ya Mbowe hayana dhamana.

Kulazimisha haki itendeke wakati upande mmoja umeshaonesha udhaifu na unaongozwa na jaji wa upande wao (mamlaka ya uteuzi) ni kujidanganya, hapo hakuna equality & fairness ( usiwasemee usiowajua their motive behind).

Mwisho nipe sheria inayokataza kesi kuamuliwa kwa kuangalia technicalities tumalize mjadala.
Mkuu zipo nyingi tu, nenda Tanzlii alafu search 'Oxygen principle/Overriding principle' zitakua kesi zakutosha uzisome vizuri utaelewa Mkuu, ukiweka hisia pembeni tapata majibu ya maswali mengi sana Mkuu, tatizo umeweka sana hisia mbele hata hautaki 'ku-reason' Mkuu.

kusema Mh. Mbowe tu ndio mwenye haki hii kesi ni kukosea Mkuu, amhuri inayo haki ya kushitaki kwa niaba ya wananchi hiyo ni kazi na haki yake, sasa tatizo wewe umeikataa kabisa (sijui kama unajua hili au haujui).

Tumia 'case laws' ndio utaelewa hiyo principle ya kutokuamua kesi kwa kuangalia technicalities Mkuu. Sheria ni pamoa na kesi zilizoamuliwa na Mahakama Kuu/Mahakama ya Rufaa, kwa maana hiyo usishangae kwanini nimekuambia usome kesi kupitia Tanzlii Mkuu.
 
Back
Top Bottom