Ufafanuzi wa kina wa agizo la Waziri wa Jafo kuhusu uteuzi Wagombea Uchaguzi Serikali za Mitaa 2019

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,607
2,000
Wadau.
Karibuni msome Ufafanuzi wa kina Wa Waziri Jaffo Juu Ya Uteuzi Wagombea Walioruhusiwa Kushiriki Zoezi la Kupigiwa Kura.

Naamini Sasa Hakutakuwa na upotoshaji zaidi Kutoka Kwa Mabeberu.

FB_IMG_15734820979806941.jpeg
 

Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,432
2,000
Matamko na taarifa zitakuwa nyingi sana kipindi hiki ili kufunika kombe.
Haya yote waliyatafuta wao, sasa kwa nini wana wasi wasi vyama kujitoa?
 

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
9,893
2,000
Hiyo taarifa ina tofauti gani na hali ilivyokuwa kabla hajaongea jana. Mbona anajipinga mwenyewe. Taarifa yake ya jana na hili tamko la leo hayaoani
 

Nedago

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
889
1,000
Hilo tangazo angelitolea lumumba kwa wanafigiri wenzie maana vyama vya upinzani wamejitoa,sasa sijui anamtangazia nani labda wana chato.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom