Mu-Israeli
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,454
- 975
Tatizo nini?je ni kutoeleweka sawasawa kwa vugu vugu la M4C -chadema kwa upande mmoja na V4C- cuf na kueleweka sawasawa kwa vuvuzela la NAPE la vua gwanda vaa uzalendo????tafakari kisha toa maoni yatakayoisaida chadema na upinzani kwa ujumla mbele ya safari,waswahili wanasema inakua ni rahisi sana kusimama kama utaanguka na kukubali umeanguka kuliko ukiwa umeanguka lakini hukubali kwamba umeanguka,maana yake utaendelea kubali hapo hapo chini ukiamini bado umesimama kumbe upo chini unagalagala sakafuni.
Kama hata wewe hujaelewa kuwa katika uchaguzi huu unaouzungumzia wanaopiga kura ni madiwani, na sio wananchi wapiga kura, basi TZ kuna kazi kweli !!
Hii umeandika tu ili kutaka kuonyesha kuwa wananchi ndio waliopiga kura, na kuwa wananchi hawajaikubali M4C.
Haya, kwa ufafanuzi wa nini kilichotokea, kuna thread inayofafanua kila kitu.
Angalia thread hiyo utaelewa (kama kweli huelewi !!).