UFAFANUZI WA HUKUMU YA JAJI FAUZ : TANESCO v DOWANS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UFAFANUZI WA HUKUMU YA JAJI FAUZ : TANESCO v DOWANS

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by ngoshwe, Feb 24, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ILE HUKUMU YA JAJI DR. FAUZ


  Mlimnukuu vibaya: Jaji amekuaja na ufafanuzi huu:

  Tuesday, February 21, 2012 10:32 AM


  " Yesterday, I delivered a ruling in TANESCO v DOWANS that raised a couple of new issues on arbitration that I believe will be of interest to commercial lawyers.

  The issues are: (1) Whether a High Court order registering an arbitration award is appellable; and if so (2) Whether the intended appellant must obtain leave to appeal to the Court of Appeal.
  The difficulty was brought about by the existence of rule 21 (and by implication, rule 16) of the 2nd Schedule to the CPC, which expressly restricts appeals from such orders to only two grounds (where the decree is "in excess of the Award", or "otherwise not in accordance with the Award").


  Secondly, upon reading today's papers, I was shocked by the inconsistencies contained in most of the articles reporting the decision in the various print media. What is even more surprising is the fact that papers belonging to the same media house give entirely contradictory reports. The article in the Guardian, a paper I trust, is a huge disappointment. It even contradicts IPP Media's television coverage of the decision on ITV, and purports to quote me saying something I never uttered! I just hope that there will be improvement in the way our reporters (especially those reporting court cases) perform their duties.

  I am sending you a soft copy of the ruling so that you may circulate to TLS members. Lawyers would need to know what exactly was decided and why.

  Thanks and good day.

  FT"
  View attachment TANESCO V DOWANS (RG 20 Feb 2012.pdf
   
 2. Jini Mapembe

  Jini Mapembe Senior Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Alinikuliwa vibaya au ni yeye mwenyewe na lugha aliyotumia ndiyo iliacha mianya ya tafsiri tofauti tofauti? Manake asije akawa analaumu tu kumbe na yeye alichangia vile vile.
   
 3. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,754
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  I share the same sentiments with the Judge that,the matter arising from arbitration proceedings does not require leave from the high court.In Tanesco and Dowans case,the international tribunal which presided over th proceedings does not form the system of our court hierachy'therefore when the high court taken the matter was to be regarded and actualy was a court of first instance to which the leave is not required in appealing.
   
 4. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wakati wa kusoma hukumu, Jaji au hakimu anasoma hukumu aliyoiandika. Na wakati huohuo wasikilizaji wengine wanasikiliza kile kinachosomwa na Jaji au hakimu, hiyo ni pamoja na waandishi wa habari. Kwa kuwa hukumu zote huandikwa kwa kiingereza na katika lugha ya kisheria, nataka niamini kwamba, waandishi hawakuelewa kile kilichoamuliwa au kwa kupigwa chenga ya lugha. Baada ya kuisoma hukumu husika, nikagundua tatizo lilikuwa lugha ya kisheria au hata kuelewa kwa ufasaha lugha ya kiingereza. Kuna haja ya kuwa na waandishi wa habari za sheria na mahakama ambao wamesomea sheria ili waweze kuripoti kwa usahihi taarifa za mahakama.
   
 5. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kwa nini hukumu huandikwa kwa Kiingereza? Wanamuandikia nani kwa hiyo lugha?

  Kwani hawawezi kuziandika hizo hukumu kwa Kiswahili?

  Ngoja nikafanye utafiti kama Uingereza nako hukumu zao huziandika kwa Kiswahili.

  So called learned people. Learned my ass. Stupid is as stupid does.
   
 6. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Sasa umeuliza swali la msingi sana ambalo lina ufafanuzi wake madhubuti, ila ulipokuja na lugha yako chafu ndio umenichefua hata nimekosa nguvu ya kufafanua.
  Ah, we kweli una wivu wa kitoto, vipi ulikosa point za kusoma Law ukaishia kwingine bob?
   
 7. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Next time usilete lugha zako huku, hapa ni jukwaa la watu makini, unapokuta Judge ametuma hukumu watu muisome its must click into your mind that kuna interest kubwa sana with regard to Dowans case!
  Watanzania tumeliwa pesa zetu na kuingizwa kwenye mzigo wa madeni then we unaleta lugha zako chafu na kudharau a noble profesion inayowasaidia leo msilipe mabilioni ya pesa! Natamani kukupa maneno machafu ila sadly i just cant argue with a fool.
   
 8. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Nione wivu kwa waliosomea law UDSM mimi? Unanijua au unanisikia?

  Usitake nimwage credentials zangu hapa ambazo zitakufanya uwe mdogo kama nukta!
   
 9. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  How about me and you go mano a mano, head to head, toe to toe, round for round, and pound for pound in an English language debate regarding yours and mine's judicial philosophy and the philosophies prosecutorial discretion and mandatory prosecution? Are you game?
   
 10. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Hapo mwisho 'are you game' we mkaaareee! Mambo ya lugha wala usipate tabu ndugu pia sina haja ya vicredentials vyako, we endelea kuleta utani kwenye mambo ya msingi 'mr credentials'.
  Hatuangalii the so called 'credentials' mr. Language guy! Hapa ni mahala pa msingi, ila just keep your nose up with your credentials! Who cares? Kamringie mkeo! We wakumwitu kweli.
   
 11. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  I knew you would chicken out like the chicken you are coz you ain't got nothing on me when it comes to jurisprudence.
   
 12. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Halafu mwana nahisi kama umekulia kwa sista wako vile maana unavi-element flani bro! 'mr. credentials'. Next time wacha mambo ya kuandika sijui 'mandatory prosecution' na ***** uliomwaga hapo juu, unajua watu wanakuangalia tu mwana! Mambo ya english debate wapi na wapi kwa mtu msomi wa vyuo kadhaa? Nadhani rudh kwa sista wako aliekusomesha ukajua 'english debate' kaongee na hicho kiinglishi chako, halafu muombe shemeji yako akufundishe maadili ya kuwa MWANAUME! 'Mr. Credentials!'
   
 13. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hoja huna, umebaki kurusha matusi na viroja kama mwehu!
   
 14. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #14
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,441
  Trophy Points: 280


  Pia kafanye uchunguzi kati ya Uingereza na Tanzania nani kadesa sheria kwa nchi nyingine.
   
 15. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #15
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Ok mr. Jurist! I declare to be defeated mr jurist! Yameisha mkuu.
   
 16. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Safari ijayo ushike adabu yako. Umesikia?
   
 17. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #17
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Haya mazee, ila soma hapo juu alichoandika Aggreyman Freeman, changanua then jibu kakupatia.
   
 18. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #18
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ukweli ni kwamba sisi sheria zetu tumedesa kwa watu. Unabisha?

  Kwa hiyo it is fair to say, Tanzania ndiyo imedesa sheria nyingi toka Uingereza.
   
 19. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #19
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu kwa kumpatia jibu zuri.
   
 20. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Uzuri wa jibu uko wapi hapo?
   
Loading...