Ufafanuzi wa hii number plate WWD 83320

Magari damu

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
430
749
Kuna gari nimepishana nayo hapa ina hizi number plate. Mwenye maelezo kidogo jamani.
Screenshot_20211202-154618_Gallery.jpg
 
Kuna watu wanaushamba flan tuseme mtu akinunua gari mpya kama anapata wehu. Kutembelea gari na hzo chasis no ni risky sana, coz hata ukigongwa ni ngumu sana kushinda kesi kwasababu sheria hairuhisu na ukiona hvo ujue gari kuna vitu haijapass tbs au imetoka show room.

Narud kwenye point jana kuna jamaa kagongwa na alikua na Bima X5 imegongwa mbele ubavuni haitamaniki kufuatilia jamaa ndo alikua na wenge sasa jamaa kaambiwa amlipe na jamaa wa town hiace. Gari ilikua imetoka bandarin ile.
 
Mjomba kama ulikua haufahamu unaweza kata bima comprehensive kwa kutumia chasis namba
 
Hio najua ila sheria hairuhusu kutembea na kibao chenye chasis mzeee ndomana police wakikudaka hawakuachi hvhv

Inategemea ni wakati gani. Kama hayajafanyika mabadiliko, unaweza kutembea na gari yenye hizo namba mchana ila sio zaidi ya saa 12 jioni.

Ukisema hairuhusiwi kutembea nazo, ukitoka nayo showroom au bandarini unaibeba mfukoni?
 
Gari mpaka inatoka bandarin inatakiwa iwe imepass kila kitu yani ukimalizana na tbs nenda tra ukapewe registration No, then bandika ingia road. Gari inayotoka yard inakua tayar imesajilwa kinachobaki ni wewe kwenda kubadili umiliki tu vibao vinakwepo ndomana ukinunua gari yard huwez kuwa na registration no mpya kama mtu anae import mwenyew coz yard wanaagiza then wanasajili kabisa.

Gari kma haijapass tbs maybe ubadilishe tair ndo wakupe certificate inatakiwa uipark sehem na sio kuzurura nayo mjin kinyume na hapo ni kosa kisheria ndugu zako wale weupe wakikudaka nayo mwenge sijui wapi lazma wakuzingue tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom