Ufafanuzi wa Balozi Kairuki kuhusu Wanafunzi wa Kitanzania kuchukuliwa na Ndege ya ATCL

Ni vema tukawa na tabia ya kukubali makosa na kuomba radhi. Passing the buck is not on.

Kusema makosa yalifanywa na Mchina mmoja aliyetumia komputa inayotafsiri bila usahihi ofisini kwa Balozi hairidhishi. Makosa ya ofisi ya Balozi ni makosa ya Balozi. Take responsibility for what happens in your office.

Yaani una mfanyakazi asiyemudu lugha za ofisini kwako na akitayarisha orodha ya majina ya Watanzania hakuna hata kuyahakiki? Spinning tu hii.

Politicians in general, and Ambassadors in particular, are people who can talk without saying anything. I don't like it when they exceed this limit and try to explain off mistakes. Own up to your failure and apologize. Labda Jiwe atamezea. Japo siyo kawaida yake.
Uzi wa malisa umepiga pake pamoja na wapiga vigelegel kumponda malisa,ukifuatilia malisa alikuwa na hoja na ndio maana Balozi kajibu fasta kwani alijuwa kuna ukweli kwenye hoja za malisa,na kama malisa asingekuwa na hoja balozi asingechukuwa muda wake kujitetea vile.

Big up,sana malisa tunaitaji wakosoaji wengi kuliko washangiliaji wengi.
 
Tatizo la hao wakurupukaji kina malisa, wakiskia kitu negative wanafrai sana wakiandike kwa mbwembwe ili wapate ujiko bila hata kujiridhisha ukweli wa Jambo lenyewe, upuuzi wa kiwango cha juu
 
Back
Top Bottom