Ufafanuzi unahitajika kuhusu hawa Viongozi wa taasisi nyeti za kitaifa!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Hivi tunapobaki tunapobaki kupiga kelele bila kuangalia namna ya kuuzika mfumo huu tutafika lini?

Hawa ni viongozi wa taasisinyeti za kitaifa na jiulize ni makada wa chama gani?

1.Jaji Lubuva....CCM
2.Jaji Mutungi...CCM
3.Jaji Othmani.......CCM
4.Spika Ndungai.....CCM
5.IGP Mungu...........CCM(aliwahi kuwaambia askari wapigie kura chama kinacholipa mshahara)
6.DG wa PCCB kamanda Mulowa.....

Hawa wote ispokua Spika ni wateule wa Rais. Kwa katiba hii tusemeje sasa?
 
Jaji Lubuva hivi ni mtu wa wapi jamani mzee wangu anazeeka vibaya. Autumikie ukweli utamuweka huru mbele ya hukumu Bwana siku ile ya kiama, maana siku zimebaki sa kuhesabiwa na umri huu. Aachane na kuwafurahisha wanadamu amfurahishe Mungu kwa kutenda ukweli.
 
Natamani kweli kusema ya moyoni, tatizo Mil. 7 ya faini sina na ni hakika nikiandika niyatakayo nitapigwa zinga la ban jf.
 
nashangaa hawa wazee sijui wanajiwekea hazina Gani mbele za Mungu, maana kwa umri wao walipaswa waanze kujisogeza karibu na Mungu kwa matendo na tabia.
 
Back
Top Bottom