Ufafanuzi tafadhali !!

MWAMUNU

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
856
494
Wana jamvi heshima mbele .
Naomba kuuliza kuhusu ushuru, mfano niko Zanzibar mtu kaniuzia gari 6000,000/=imesajiliwa namba za Zanzibar
Hadi kufika nayo Dar ushuru ,kusafirisha na gharama zote kwa ujumla inaweza fika sh ngapi ?
 
Kama kodi (VAT) iliyolipwa Zanzibar mainland at the time of importation ni sawa na ile inayotakiwa kulipwa Tanzania mainland basi hutolipa chochote, lakini kama ililipiwa VAT ndogo pungufu ya ile inayotakiwa kulipwa Tanzania mainland basi utatakiwa kulipa kiasi kilichobaki.
Refer VAT ACT 1997 Revision Edition of 2006

 
Back
Top Bottom