ufafanuzi tafadhali

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,215
7,906
11996d8a6080b8b478058b2de16e3cfd.jpg

hii nimepiga juu ya engine karibu na pa kuwekea oil, nielewesheni maana yake wakuu
 
Hicho kichina/kijapani babu maana yake expire date ya gari
 
ngoja waje wale wanao kwenda huko kupeleka sembe watakwambia
 
11996d8a6080b8b478058b2de16e3cfd.jpg

hii nimepiga juu ya engine karibu na pa kuwekea oil, nielewesheni maana yake wakuu
mkuu hapo hizo ni type ya oil ya kutumia na km za kutembea mfano hiyo 10W 3O ni kwa 5000km na 5W 30 10000KM
mkuu unapata tabu ya nini/. simu zina google translate fanya kuipiga hiyo picha then itranslet mkuu
 
Back
Top Bottom