Larson
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 206
- 148
Fanya simple research, ni vifaa gani vya urembo vyenye demand kubwa kwa hao wadada na pia nikushauri usiji limit tu maofisini angalia pia kwenye vyuo mbalimbali vya Dar hata vya mikoani.
Then tafuta mtu anayefanya biashara kama hiyo na umfuate akupe ABC ingawa hili kwa wa bongo ni gumu kidogo in case ukakosa mentor ingia kariakoo fanya research ya kutosha ya Aina ya products unazotaka pamoja na bei.
Then anza na bidhaa chache ili ku create awareness na ucheck response ikoje then expand according to the demand.
Mwisho,epuka kukopesha kama hakuna ulazima. All the best!