Tatizo Vijana wa ccm waoga, tukatae huu ujinga haiwezekani mtu mmoja aendeshe chama bila vikao huu upuuzi,Kwa Siha sina tatizo ila kwa Kinondoni napata shida kidogo. Nakumbuka jinsi Mtulia alivyotutia hasara tukipambania kura za Iddi mwaka 2015 lakini leo hii anapita bila kupingwa?!!!........ Yule Mollel ni mwanaccm kindakindaki so kumrejesha bungeni ni haki yake japokuwa Mwanri ni mzuri zaidi!