Ufafanuzi kuhusu Mgomo; madaktari wa mapenzi tunaendelea na kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufafanuzi kuhusu Mgomo; madaktari wa mapenzi tunaendelea na kazi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by figganigga, Jun 28, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  Watu wameingiwa na wasiwasi sana kuhusu Mgomo unao endelea. Nafurahi kuwafahamisha kwamba sisi madoctor wa mapenzi tunaendelea kutuoa huduma ikiwemo ushauri nasaha. Hivyo basi wale wote wenye kuhitaji huduma naomba mnipm. Naendelea kuhudumia wenye matatizo ya moyo mpweke, wasiofikishwa vizuri na na wenye malimbikizo ya nyeje. karibuni sana.Hii huduma haiwahusu wale walio nisaliti bila shaka mnajijua. Mia
   
 2. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mtu mzima hooooooooooooooooovyoooooooooooooooooo lione pumba tupu
   
Loading...