Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 28,331
- 81,694
Chonde chonde mkuu wetu DON NALIMI CURTIS aka Dj DON NALIMISON , usiende kwa Baba yako huko Marekani! Bado tunakuhitaji sana uwe Rais wetu miaka ijayo.
Achana na huyo Baba yako, na yule Malia Obama, mtoto unaye mzimika sana! Baki hapa hapa Bongo ili uendelee pia kutuletea ngoma za kutosha.
Achana na huyo Baba yako, na yule Malia Obama, mtoto unaye mzimika sana! Baki hapa hapa Bongo ili uendelee pia kutuletea ngoma za kutosha.