Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,440
- 92,801
Kisandu unakumbuka hii thread yako?
Ufafanuzi: Mimi Deo Kisandu ni Mnyamwezi(Msukuma) sio Msambaa
NB; Picha hizo mbili ni za wazazi wangu, Baba na Mama za nyuma kidogo. Mimi Deo Kisandu, Nimekumbana na Maswali mengi juu ya kabila langu wengine wanasema Mimi Msambaa kwa kuwa niligombea ubunge jimbo LA Lushoto, Tanga mwaka 2010. Wengine wana dai Mimi Mchaga kwa kuwa nilikuwa CHADEMA...
www.jamiiforums.com