Swali, winchi hiyo tunaikodi au tunainunua? Kama tunainunua, baada ya kukamilisha kazi yake tutakuwa na kazi nayo nyingine au itakuwa chuma chakavu? Je, utaratibu huu wa kutumia winchi ni wa kawaida siku hizi au ni utaratibu wa enzi za mabwawa ya waitaliani?Mhandisi Christopher Bitesigirwe Mratibu wa Mradi wa JNHPP. Nimekuwa pale kwenye mradi kwa muda wa zaidi ya mwaka na ni Mtaalamu wa Mitambo. Kuna aina nyingi ya crane na kila crane inatengenezwa kwa kazi maalum. Kuna crane zinazotembea (movable cranes) na crane zinazofungwa mahali (immovable cranes).
Crane itakayofungwa pale kwenye handaki la kuchepusha mto (diversion tunnel) ambayo ni immovable crane imetengenezwa pamoja na gate la kufunga handaki la kuchepusha mto.
Lile gate lina vipande 14 ambavyo vina uzito wa tani 26 kila kimoja. Na vitaunganishwa vipande 7 kwa kila nusu gate lenye uzito wa tani 182. Hivyo crane itakayotumika kufunga gate kwa jina la kitaalamu inaitwa hoisting mechanism ambayo itakuwa inabeba vipande vya gates kwa ajili ya kuviunganisha na kushikilia. Baada ya kufunga gate, litamwagwa zege la kuimarisha gate hilo ambalo litakaa pale wakati wote (permanently).
Kwa kuwa crane hiyo imetengenezwa mahususi kwa kazi ya kuziba handaki la kuchepusha mto, baada ya kazi hiyo kukamilika crane hiyo haitakuwa na kazi tena.
Crane hiyo tunayoiongelea bado haijafika nchini na itakapofika ndio tunaweza kuanza kazi ya kuziba handaki la kuchepusha mto (diversion tunnel).
Aisee...Wahuni wa siasa wameanza kuhujumu mradi kwa speed ya 5G. Hapo zinatafutwa pesa . pesa ya dharula
Hapa shida ni dili tu.Mhandisi Christopher Bitesigirwe Mratibu wa Mradi wa JNHPP. Nimekuwa pale kwenye mradi kwa muda wa zaidi ya mwaka na ni Mtaalamu wa Mitambo. Kuna aina nyingi ya crane na kila crane inatengenezwa kwa kazi maalum. Kuna crane zinazotembea (movable cranes) na crane zinazofungwa mahali (immovable cranes).
Crane itakayofungwa pale kwenye handaki la kuchepusha mto (diversion tunnel) ambayo ni immovable crane imetengenezwa pamoja na gate la kufunga handaki la kuchepusha mto.
Lile gate lina vipande 14 ambavyo vina uzito wa tani 26 kila kimoja. Na vitaunganishwa vipande 7 kwa kila nusu gate lenye uzito wa tani 182. Hivyo crane itakayotumika kufunga gate kwa jina la kitaalamu inaitwa hoisting mechanism ambayo itakuwa inabeba vipande vya gates kwa ajili ya kuviunganisha na kushikilia. Baada ya kufunga gate, litamwagwa zege la kuimarisha gate hilo ambalo litakaa pale wakati wote (permanently).
Kwa kuwa crane hiyo imetengenezwa mahususi kwa kazi ya kuziba handaki la kuchepusha mto, baada ya kazi hiyo kukamilika crane hiyo haitakuwa na kazi tena.
Crane hiyo tunayoiongelea bado haijafika nchini na itakapofika ndio tunaweza kuanza kazi ya kuziba handaki la kuchepusha mto (diversion tunnel).
OkonkoThings Fall Apart
January amekutuma ?Maelezo hapo juu yametoa ufafanuzi madhubuti
Kuelewa ni kuchagua
Bro i agree with you maelezo hayakutolewa kwa kina kiasi ambacho sasa makamba anaonekana ni mpuuzi,kumbe yuko rightTatizo ni lugha iliyotumika kufanya "articulation" imekosa vionjo sahihi. Endapo January angemwagika kuhusu masuala haya ya kitaalamu, basi angeepusha mijadala inayoendelea kuhusu jambo hili.
Duh tujifunze kuelewa kabla kutoa lawama huo sio mradi wa kuchezea kiasi cha kila mtu kuropoka atakavyo,hiyo project ni ngeni kwetu ndio maana tunaona vitu vigeniManeno gani hayo???, yaani crane ikishaziba handaki basi tena inakuwa haina kazi nyingine?!!, kwa maana hiyo itakuwa ni Crane ya kukodi au ??!!
Crain hazijafika!Ukitaka ipo hivyo na usipotaka ipo hivyo.Kwa hiyo wahandisi kutoka Misri walikuwa hawajua kwamba wanahitaji hiyo crane mpaka wakati wa kujaza maji? Kwa nini mnataka kuwafanya Watanzania wajinga?
Kwani wewe ulipoanza ujenzi wa nyumba ulinunua mahitaji yote kwa wakati mmoja?.Ujenzi wowote unastage.Kwa hiyo walianzaje ujenzi bila kujua Kuna hiyo crane itahitajika pindi itakapofikia hii stage ya kuweka milango ya kufunga bwawa ili maji yajae?
Haiwezekani wakati wa design hawakujua hii especially quantity surveyor wa project. Upulusi mtupu.
Halafu anajiita engineer shwaini kabisa.
Sisi tunahitaji umeme na siyo ngonjera za Makamba, kwenye mkataba kuna kitu kinaitwa Mobilization na Demobilization ya mashine, kwa hiyo tunapoongelea mobilization maana yake ni pamoja na hiyo crane kuwa site, sasa huyo mwizi alokataliwa na JPM anatueleza kitu gani?Mhandisi Christopher Bitesigirwe Mratibu wa Mradi wa JNHPP. Nimekuwa pale kwenye mradi kwa muda wa zaidi ya mwaka na ni Mtaalamu wa Mitambo. Kuna aina nyingi ya crane na kila crane inatengenezwa kwa kazi maalum. Kuna crane zinazotembea (movable cranes) na crane zinazofungwa mahali (immovable cranes).
Crane itakayofungwa pale kwenye handaki la kuchepusha mto (diversion tunnel) ambayo ni immovable crane imetengenezwa pamoja na gate la kufunga handaki la kuchepusha mto.
Lile gate lina vipande 14 ambavyo vina uzito wa tani 26 kila kimoja. Na vitaunganishwa vipande 7 kwa kila nusu gate lenye uzito wa tani 182. Hivyo crane itakayotumika kufunga gate kwa jina la kitaalamu inaitwa hoisting mechanism ambayo itakuwa inabeba vipande vya gates kwa ajili ya kuviunganisha na kushikilia. Baada ya kufunga gate, litamwagwa zege la kuimarisha gate hilo ambalo litakaa pale wakati wote (permanently).
Kwa kuwa crane hiyo imetengenezwa mahususi kwa kazi ya kuziba handaki la kuchepusha mto, baada ya kazi hiyo kukamilika crane hiyo haitakuwa na kazi tena.
Crane hiyo tunayoiongelea bado haijafika nchini na itakapofika ndio tunaweza kuanza kazi ya kuziba handaki la kuchepusha mto (diversion tunnel).
Wanaompinga January wamezoea kuambiwa UONGO na lile dictator laoMhandisi Christopher Bitesigirwe Mratibu wa Mradi wa JNHPP. Nimekuwa pale kwenye mradi kwa muda wa zaidi ya mwaka na ni Mtaalamu wa Mitambo. Kuna aina nyingi ya crane na kila crane inatengenezwa kwa kazi maalum. Kuna crane zinazotembea (movable cranes) na crane zinazofungwa mahali (immovable cranes).
Crane itakayofungwa pale kwenye handaki la kuchepusha mto (diversion tunnel) ambayo ni immovable crane imetengenezwa pamoja na gate la kufunga handaki la kuchepusha mto.
Lile gate lina vipande 14 ambavyo vina uzito wa tani 26 kila kimoja. Na vitaunganishwa vipande 7 kwa kila nusu gate lenye uzito wa tani 182. Hivyo crane itakayotumika kufunga gate kwa jina la kitaalamu inaitwa hoisting mechanism ambayo itakuwa inabeba vipande vya gates kwa ajili ya kuviunganisha na kushikilia. Baada ya kufunga gate, litamwagwa zege la kuimarisha gate hilo ambalo litakaa pale wakati wote (permanently).
Kwa kuwa crane hiyo imetengenezwa mahususi kwa kazi ya kuziba handaki la kuchepusha mto, baada ya kazi hiyo kukamilika crane hiyo haitakuwa na kazi tena.
Crane hiyo tunayoiongelea bado haijafika nchini na itakapofika ndio tunaweza kuanza kazi ya kuziba handaki la kuchepusha mto (diversion tunnel).
Hii ndio shida ya kujadili na watu wanaojiona wanajua kumbe shuleless kabisa.Kwani wewe ulipoanza ujenzi wa nyumba ulinunua mahitaji yote kwa wakati mmoja?.Ujenzi wowote unastage.