Ufafanuzi crane za JNHPP, Januari Makamba alikuwa sahihi mnaopinga someni hapa

Tatizo ni lugha iliyotumika kufanya "articulation" imekosa vionjo sahihi. Endapo January angemwagika kuhusu masuala haya ya kitaalamu, basi angeepusha mijadala inayoendelea kuhusu jambo hili.
Yeye mpobezi kwenye usuluhishi na utatuzi migogoro Sasa uhandisi huu wapi nawapi aliyemwandikia jibu ndommpuzi na alalamikiwe
 
Kama hilo halijakutosha Tunga jawabu lako
Mnahangaika sana kuhalalisha kitu kwa hila na uongo, kama vile uongo unaweza kumsitiri mtu. Kujenga Taifa lenye maendeleo inataka vitendo. Sio maneno maneno mnayopenda kujiuza nayo ili muendeleze kula bila kutoa jasho.
Watanzania wanazinduka na wanazinduka kweli kweli. Adhaniyae amesimama ajiangalie tu asianguke
 
Back
Top Bottom