Ufafanuzi: CHADEMA haijawahi kuwa na diwani wa kata ya Olasiti, Arusha

gagonza

JF-Expert Member
Oct 18, 2009
309
98
kwa uchungu napenda kukosoa uwongo uliosemwa na huyo mama kuwa Lema alimtaka kimapenzi.

Katika madiwani waliofukuzwa hakuna diwani wa Olasiti.

Madiwani waliofukuzwa ni kata ya Themi, Kijenge, Kaloleni na Elerai, yeye alikuwa wa kuteuliwa, kama yeye walimtaka kimapenzi akakataa na wenzie pia walitakwa kimapenzi?
 
Ni siasa majitaka za ccm,hazitadumu kwenye ramani ya siasa safi "Ganda la muwa la jana,chungu (ccm) kaona kivuno.
 
Watahangaika sana. Hawatashinda. Wamezoea vya kunyonga...watu wazima na akili zao wanadanganywa mchana kweupe wanakubali tu. Kisha wanajivunia eti diwani, diwani mtu hata uanachama wa hicho chama hana. Kwa nini wasijivunie kuwa wamepata mwanachama asiyekuwa na chama, magamba bwana, hakuna aliye mzima! Poor them.
 
Nawashangaa wanamdanganya nani. Hapa Arusha tunamfahamu huyo Rehema. Alikuwa diwani wa kuteuliwa na alikuwa miongoni mwa waliofukuzwa uanachama. Hapa mimi naona wanadanganyana wenyewe kwa wenyewe. Na sijui itawasaidia nini? Badala ya kuweka mikakati ya kuimarisha na kukijenga chama chao, wanaleta maigizo. Upuuzi mtupu!
 
wapumbavu hujidanganya na kujisifu! wao wamchukue huyo rehema halafu walinganishe na kamanda Mawazo aliyeondoka kwao pasipo kuhongwa wala kufukuzwa..
 
huyo mama ni nimpuuzi siasa za kiccm hizo
kwa uchungu napenda kukosoa
uwongo uliosemwa na huyo mama kuwa Lema alimtaka kimapenzi.

Katika madiwani waliofukuzwa hakuna diwani wa Olasiti.

Madiwani waliofukuzwa ni kata ya Themi, Kijenge, Kaloleni na Elerai,
yeye alikuwa wa kuteuliwa, kama yeye walimtaka kimapenzi akakataa na
wenzie pia walitakwa kimapenzi?
 
kwa uchungu napenda kukosoa uwongo uliosemwa na huyo mama kuwa Lema alimtaka kimapenzi.

Katika madiwani waliofukuzwa hakuna diwani wa Olasiti.

Madiwani waliofukuzwa ni kata ya Themi, Kijenge, Kaloleni na Elerai, yeye alikuwa wa kuteuliwa, kama yeye walimtaka kimapenzi akakataa na wenzie pia walitakwa kimapenzi?

Halafu Mwanamke kutongozwa kwani ni Dhambi?????
 
Mambo ya CCM hayastahili hata kuitwa siasa, kwani ni aibu tupu. Ila sio Tendwa wala Polisi watainua pua kwa hili
 
Ukistaajab ya Musa...... Sasa mwanamke kutongozwa tena mtu mzima ni kosa? Ungesema alitongoZwa Bayo tungeshangaa.
 
Watahangaika sana. Hawatashinda. Wamezoea vya kunyonga...watu wazima na akili zao wanadanganywa mchana kweupe wanakubali tu. Kisha wanajivunia eti diwani, diwani mtu hata uanachama wa hicho chama hana. Kwa nini wasijivunie kuwa wamepata mwanachama asiyekuwa na chama, magamba bwana, hakuna aliye mzima! Poor them.

Hata kama madai ya huyo dada ni ya kweli, angekuwa amemkubalia huyo Mh. angetuambia??? Au ni unafki wa kisiasa tu?
 
kwa uchungu napenda kukosoa uwongo uliosemwa na huyo mama kuwa Lema alimtaka kimapenzi.

Katika madiwani waliofukuzwa hakuna diwani wa Olasiti.

Madiwani waliofukuzwa ni kata ya Themi, Kijenge, Kaloleni na Elerai, yeye alikuwa wa kuteuliwa, kama yeye walimtaka kimapenzi akakataa na wenzie pia walitakwa kimapenzi?

Kanunuliwa na mafisadi katika kutekeleza mbinu zao chafu za siasa za kupaka matope; ni mbinu za kizamani, zitashindwa na hatimaye ufisadi utashinndwa
 
Huyo mwanamama hana akili kabisa na amefilisika busara, kama kweli lema alimtongoza cha ajabu ni nini mpaka kupelekea kukusanya mambumbumbu wote wale ili kuelezea upuuzi huo, mbona hakutaja na wanaume wengine waliowahi kumtongoza?! inawezekana huyu mwanamama hajawahi kupata bahati ya kutongozwa ndo maana kaona ni jambo la ajabu sana au la alikuwa katumwa kuzusha mgogoro baina ya lema na mkewe!
 
mwanaume lijari lazima aelezee hisia zake kwa mwanamke, sasa kama alikamkataa anamwambia nan? siku zote alikua wapi? hatutaki mambo ya chumbani kuleta barazani.
 
Mbona tuna mduu tu asemi bia kazaa tuu kwisha.huyo simba aliyeongozana nae anajidai diwani wa mjini kati na tojo niwa wapi?kinana naye zuzu kama lowasa.ccm msisombe watu alafu mfanye mkutano arusha muone kama sio wasomali sita na waarusha saba wataudhiria.
 
Back
Top Bottom