Ufadhili wa kilimo na fursa ya uwekezaji katika kilimo cha pilipili kichaa

Granter

JF-Expert Member
Dec 11, 2016
483
361
Taswe.or.tz, vegrab.co.tz na wadau wengine muhimu tulipitisha mradi wa kuwawezesha wawekezaji katika mradi wa pilipili kichaa kwa 50%. Unachotakiwa ni kuchangia 4.2M/Acre kisha utaweza kupata huduma zifuatazo:

1. Shamba kwa muda wa miaka mitatu
2. Kufyeka shamba
3. Kung'oa visiki
4. Kulima shamba kwa tractor
5. Kupigiwa harrow
6. Kupewa miche
7. Kupewa samadi
8. Kupewa mbolea za organic
9. Kutengenezewa matuta
10. Kusambaza samadi
11. Kununuliwa vifaa vya drip lines
12. Kufanyiwa installation shambani
13. Kufungiwa solar water pumps
14. Kufungiwa driers za india zenye kutumia umeme na jua kwa mashine moja
15. Kupewa mtaalamu wa kusimamia
16. Kuchimbiwa kisima

Kwa kufanya hivi utaweza kufika makadirio ya juu ya uzalishaji ambayo ni wastani wa kilo 2000 mpaka 3000 kwa mwaka mmoja na kwa mradi huu wa pamoja bei itakua shilingi 6000 kwa kilo moja tofauti na mkulima mmoja mmoja, hapa zitakua ekari nyingi sana kwa pamoja.

hapo ni katika kilimo cha mkataba na VEGRAB kupitia UWEKEZAJI wako huo, unaweza kupata kuanzia 10M kwa mwaka mmoja na utavuna mpaka Miaka mitatu.

Kumbuka mara mbili ya gharama unayowekeza zinatolewa na taswe.or.tz pamoja na vegrab.co.tz.
Katika maeneo ambayo driers kutoka india zitafungwa na kampuni ya VEGRAB, Mkulima hatolipia gharama yoyote.

Atakausha pilipili yake bure kwa umeme. Hii ndio itakuhakikishia faida kubwa ilioko kwenye zao hili la pilipili maana utapata pilipili yote grade A, Muda mfupi wa kukausha(speeding to money), na utapata kilo nyingi zaidi maana driers zina control moisture content kwa regulators na ventilators, pia hautopoteza pilipili ata moja, pia ubora utakua juu zaidi.

Gharama ya kukausha kwa umeme, kwa driers hizi kwa kilo moja mbichi ni Tsh.500 na kwa kilo moja kavu ni Tsh.1000/=

Gharama zote hizi zitalipwa na kampuni kwenye maeneo ya mradi yatakayofungwa machine

Hivyo kwa wawekezaji fursa pia ni kubwa sana maana ukiweza kufunga dryer utalipwa TSH.1000 kwa kila kilo moja kavu
Ukiweza kukausha kilo kavu 2000 kwa mwezi ni sawa na 2M.

unapewa mkataba na zone ya kufanyia kazi.

Na usihofu kuhusu upatikanaji wa pilipili, VEGRAB ina pilipili na mashamba kwa sasa tunakaribia ekari 10000. Sawa na kilo mbichi 2,000,000 kwa mwezi(expected), (kazi ni kwetu kufumbua macho).

Fursa hii ni muhimu sana.

Bei ya driers hizo ni around 10M na hivyo basi VEGRAB tunamsaidia zaidi Mkulima wa kawaida maana si rahisi kuweza kununua dryer ya 10M.
Tukifanya kazi vizuri na VEGRAB tutafika mbali sana
2021_09_12_10_03_47_040.jpg
 
Tukifanya kazi vizuri na VEGRAB tutafika mbali sana View attachment 1934598
Sasa hivi mna wakulima wangapibkatika mradi wenu?

Je, mna mwaka wa ngapi wa kushirikiana na wakulima.

Ni kwanini msigharamie gharama zote ili baada ya mavuno muwe mnamkata mteja kidogo kidogo kufidia hizo gharama zenu. Yaani ndani ya hiyo miaka mitatu mnakuwa mmekata gharama zote.
 
Mlandizi pwani
Ninyi ni matapeli mmewauzia watu mbegu kwa 50,000 kama advance na mkopo wa 220,000 watakazolipa baada ya kuwauzia pilipili na mkawajazisha mikataba ambayo hamjawarudishia hadi leo .

Wameotesha mbegu lakini hamjatokea hadi wameamua kupanda wenyewe,sasa wanasubiri msijekununua muone watakavyo wapandisha kizimbani.

Acheni utapeli basi
 
Taswe.or.tz, vegrab.co.tz na wadau wengine muhimu tulipitisha mradi wa kuwawezesha wawekezaji katika mradi wa pilipili kichaa kwa 50%. Unachotakiwa ni kuchangia 4.2M/Acre kisha utaweza kupata huduma zifuatazo:

1. Shamba kwa muda wa miaka mitatu
2. Kufyeka shamba
3. Kung'oa visiki
4. Kulima shamba kwa tractor
5. Kupigiwa harrow
6. Kupewa miche
7. Kupewa samadi
8. Kupewa mbolea za organic
9. Kutengenezewa matuta
10. Kusambaza samadi
11. Kununuliwa vifaa vya drip lines
12. Kufanyiwa installation shambani
13. Kufungiwa solar water pumps
14. Kufungiwa driers za india zenye kutumia umeme na jua kwa mashine moja
15. Kupewa mtaalamu wa kusimamia
16. Kuchimbiwa kisima

Kwa kufanya hivi utaweza kufika makadirio ya juu ya uzalishaji ambayo ni wastani wa kilo 2000 mpaka 3000 kwa mwaka mmoja na kwa mradi huu wa pamoja bei itakua shilingi 6000 kwa kilo moja tofauti na mkulima mmoja mmoja, hapa zitakua ekari nyingi sana kwa pamoja.

hapo ni katika kilimo cha mkataba na VEGRAB kupitia UWEKEZAJI wako huo, unaweza kupata kuanzia 10M kwa mwaka mmoja na utavuna mpaka Miaka mitatu.

Kumbuka mara mbili ya gharama unayowekeza zinatolewa na taswe.or.tz pamoja na vegrab.co.tz.
Katika maeneo ambayo driers kutoka india zitafungwa na kampuni ya VEGRAB, Mkulima hatolipia gharama yoyote.

Atakausha pilipili yake bure kwa umeme. Hii ndio itakuhakikishia faida kubwa ilioko kwenye zao hili la pilipili maana utapata pilipili yote grade A, Muda mfupi wa kukausha(speeding to money), na utapata kilo nyingi zaidi maana driers zina control moisture content kwa regulators na ventilators, pia hautopoteza pilipili ata moja, pia ubora utakua juu zaidi.

Gharama ya kukausha kwa umeme, kwa driers hizi kwa kilo moja mbichi ni Tsh.500 na kwa kilo moja kavu ni Tsh.1000/=

Gharama zote hizi zitalipwa na kampuni kwenye maeneo ya mradi yatakayofungwa machine

Hivyo kwa wawekezaji fursa pia ni kubwa sana maana ukiweza kufunga dryer utalipwa TSH.1000 kwa kila kilo moja kavu
Ukiweza kukausha kilo kavu 2000 kwa mwezi ni sawa na 2M.

unapewa mkataba na zone ya kufanyia kazi.

Na usihofu kuhusu upatikanaji wa pilipili, VEGRAB ina pilipili na mashamba kwa sasa tunakaribia ekari 10000. Sawa na kilo mbichi 2,000,000 kwa mwezi(expected), (kazi ni kwetu kufumbua macho).

Fursa hii ni muhimu sana.

Bei ya driers hizo ni around 10M na hivyo basi VEGRAB tunamsaidia zaidi Mkulima wa kawaida maana si rahisi kuweza kununua dryer ya 10M.
Tukifanya kazi vizuri na VEGRAB tutafika mbali sana View attachment 1934598
Hapa watu watalia, hii no Model kama ya NAMINGO wale, mnacho fanya ni kama ile Biashara ya Sungura,

Kama ina lipa kwa nini msinunue mashamba hata hekari 10, 000 mlime wenyewe? Au mkodishe mashamba?

Acheni utapeli na mbaya wabongo wanapenda miteremko mtawapiga sana
 
Ninyi ni matapeli mmewauzia watu mbegu kwa 50,000 kama advance na mkopo wa 220,000 watakazolipa baada ya kuwauzia pilipili na mkawajazisha mikataba ambayo hamjawarudishia hadi leo .

Wameotesha mbegu lakini hamjatokea hadi wameamua kupanda wenyewe,sasa wanasubiri msijekununua muone watakavyo wapandisha kizimbani.

Acheni utapeli basi
Hawa ni wajanja wajanja na Biashara yao kuu ni kuuza mbegu, sasa Watanzania hawajawashitukia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom