iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Hili ni kundi kubwa na bado liko CCM na halijawahi kuimba wimbo mwingine zaidi ya ule wa "tuna imani na Lowassa"
Kundi hili ni kubwa, lilianzia kamati kuu, akina Nchimbi na Sofia Simba.
Likahamia katika halmashauri kuu ya CCM na huku likaimba mbele ya mwenyekiti wa chama na vigogo wote. Kundi hili lipo na kama Magufuli anataka kura lazima akaliombe.
Kundi kubwa zaidi ni mkutano Mkuu ambao inasemekana karibu wote walikuwa na Imani na Lowassa.
Bila shaka Makundi haya yana hofu kubwa ya kupoteza nafasi zao endapo mwenyekiti mpya ataikwaa nafasi hiyo. Na yakipotea yatapotea kwa miaka yote.
Yatapoteaje? Uchaguzi wa CCM katika ngazi mbalimbali ni Mwaka 2017, mwenyekiti mpya lazima atatoa maelekezo ya kung'oa masalia ya low as a ndani ya CCM. Watu watakatwa na Mkuu wa chama yeye mwenyewe au kwa maelekezo.
Je hiki ndicho kinakwamisha kuukabidhi uenyekiti? Je akina member na kundi lake wako tayari "kufutika" CCM?
CCM itabaki salama? Na je upinzani umejiandaaje kuidhoofisha CCM kipindi hiki?
Lowassa atakubali kuwapoteza watu wake wa karibu ndani ya chama cha CCM?