''Uende kunishtaki wakati nakulinda na jeshi langu?'' Tunavutia wawekezaji gani na kauli kama hizi?

Hotuba ya rais wakati akikabidhiwa ripoti ya pili ilikuwa ni attention ya vyombo vingi vya habari wadau mbalimbali na potential investors pia
Rais anasisitiza juu ya kuvutia wawekezaji, kuwasamehe kodi za mwanzo na kusisitiza mara kwa mara mtendaji ndani ya serikali yake atakayeleta vikwazo kwa muwekezaji atamuondoa

Watu watasema tunajadili details zisizo na msingi kwenye hotuba ila kwa Investors anaye-contemplate juu ya kuja Tanzania attention yake inakuwa juu ya rais anavyodeal na wawekezaji waliopo nchini ndio anajua nchi hii ni rafiki ama sio rafiki na sio kusikiliza maneno anayomwambia rais akiwa anaongea nae

Kauli hiyo inatoa picha kuwa rais ni mbabe, asiyesikiliza reason ila akiktuhumu juu ya lolote unatakiwa ukiri na umlipe

Chukulia mfano huu
Umekodi shamba unapanda mahindi, makubaliano na mwenye shamba ni kuwa kila gunia 100 utakazovuna utamlipa gunia 2,
Mwenye shamba anakutuhumu unavuna mahindi mengi zaidi unamficha ili umpe gawio dogo, na kingine ni makubaliano ya gawio la kwanza hayapo fair, na amekuzuia kulima walakutoa mahindi

Mwenye shamba huyo anakuambia usithubutu kumshtaki kwa sababu una vifaa vyako shambani kwake...unatakiwa ukubali tuhuma zilivyo na na ulipe

Mwenye shamba kama huyo kama kuna mtu aliyekuwa anawaza kukodi shamba kwake ataenda kwake au atafikiria kukodi kwa mwingine na wenye shamba ni wengi?

Kwa wewe unataka umvutie kwamba hata akikushtaki mwekezaji njoo tu! Ficha ujinga wako huko!!!!!
 
Tuchukulie mfano wako huo huo wa shamba.

Kama kwa miaka 20 ulikuwa unapata magunia 200 kila mwaka lakini unaniambia unapata magunia 100 kila mwaka. Kwa hiyo ulinilipa gunia 2 badala ya gunia 4 kila mwaka.

Leo nimebaini kuwa ulinipunja gunia 2 kila mwaka kwa miaka 20 - jumla ya gunia 40.

Nikikuambia mwaka huu husafirishi magunia yako mpaka unilipe magunia yangu 40 ulionidhilumu nitakuwa nimekosea kweli?
 
Hotuba ya rais wakati akikabidhiwa ripoti ya pili ilikuwa ni attention ya vyombo vingi vya habari wadau mbalimbali na potential investors pia
Rais anasisitiza juu ya kuvutia wawekezaji, kuwasamehe kodi za mwanzo na kusisitiza mara kwa mara mtendaji ndani ya serikali yake atakayeleta vikwazo kwa muwekezaji atamuondoa

Watu watasema tunajadili details zisizo na msingi kwenye hotuba ila kwa Investors anaye-contemplate juu ya kuja Tanzania attention yake inakuwa juu ya rais anavyodeal na wawekezaji waliopo nchini ndio anajua nchi hii ni rafiki ama sio rafiki na sio kusikiliza maneno anayomwambia rais akiwa anaongea nae

Kauli hiyo inatoa picha kuwa rais ni mbabe, asiyesikiliza reason ila akiktuhumu juu ya lolote unatakiwa ukiri na umlipe

Chukulia mfano huu
Umekodi shamba unapanda mahindi, makubaliano na mwenye shamba ni kuwa kila gunia 100 utakazovuna utamlipa gunia 2,
Mwenye shamba anakutuhumu unavuna mahindi mengi zaidi unamficha ili umpe gawio dogo, na kingine ni makubaliano ya gawio la kwanza hayapo fair, na amekuzuia kulima walakutoa mahindi

Mwenye shamba huyo anakuambia usithubutu kumshtaki kwa sababu una vifaa vyako shambani kwake...unatakiwa ukubali tuhuma zilivyo na na ulipe

Mwenye shamba kama huyo kama kuna mtu aliyekuwa anawaza kukodi shamba kwake ataenda kwake au atafikiria kukodi kwa mwingine na wenye shamba ni wengi?
Yan inasikitisha sana...hatuna Rais tuna debe-shinda lisiloacha kutika!
 
Unalinda uwani huko c kumlinda yy? Unasema unamlinda na hujui kinachoendea ndan? Anaweza akatoka na kuingia bila hata ww kujua ? Halafu useme nani katuloga ama wachungaji muwe mnaingia kuombea dhahabu... Do we serious ? Au tunafukuza mapepo?
 
Hii dhana ya kusema tutafukuza wawekezaji ni dhana potofu au inapigiwa chapuo tu la kisiasa lakini haina mantiki yoyote.

Hii ni dhana inayotumiwa sana na makampuni ya kibeberu ili yafutiwe kodi au yapewe nafuu kubwa ya kodi.

Nchi yoyote yenye maliasili zinazotafutwa kwa ''udi na uvumba'' haiwezi kukosa wawekezaji.

Tanzania ina maliasili zinazotafutwa kwa 'udi na uvumba' katika masoko ya Ulaya na Marekani.

Huko Libya pamoja na vita vinavyoendelea lakini makampuni ya nchi za Magharibi yanapigana vikumbo ili kuwekeza pamoja na kwamba mazingira ya uwekezaji sio endelevu.

Nenda DRC ukaone jinsi ambavyo wawekezaji wanapigana vikumbo katika migodi pamoja na kwamba nchi iko vitani katika maeneo yenye madini.

Nguo nyingi katika masoko ya Ulaya zinatoka katika nchi za Bangladesh na Turkey ambako wawekezaji kutoka Ulaya wamewekeza pamoja na kuwa kuna vikundi vya kigaidi ambavyo ni active.

Nenda Iraq, nenda Egypt and the list goes on and on...
Msidanganye watu. Madini hayapo Tanzania pekee yake. Watu wanaandika bila hata kujua hao wawekezaji walikujaje nchini.

Barrick hawakutaka kuja Tanzania. Serikali ya Mkapa ilitumia watu mbalimbali kuwashawishi waje Tanzania. Na aliyewezesha Barrifk kuja Tanzania ni Andrew Young, ambaye aliwahi kuwa balozi wa kudumu wa Marekani kwenye Umoja wa mataifa.

Miaka hii mitatu ya mwisho makampuni zaidi ya 160 ya utafiti madini yameondoka Tanzania. Yanayofanya utafiti sasa hivi Tanzania hayazidi 4. Hii ina maana tusitegemee migodi mipya siku za mbeleni.

Maeneo ambayo yana risk kubwa kama DRC, kwa kawaida makampuni makubwa yaliyojijenga hayaendi. Kampuni ndogo zinaweza kwenda maeneo kama hayo kwa sababu hayana ushindani.

Acacia kwa miaka minne ya mwishoni wamekuwa wanatafuta kila mbinu waondoke Tanzania. Tatizo kubwa ni kwamba hakuna kampumi inayotaka kununua assets zake kwa kuwa zipo kwenye mazingira magumu ya uwekezaji. Resolute waliondoka Tanzania siyo kwa sababu dhahabu iliisha bali hawakutaka kuendelea kuwekeza Tanzania. Waliondoka wakaenda Mali ambako wanachimba na kufanya utafiti.

Dhahabu haipo Tanzania pekee yake. Chuma hakipo Tanzania pekee yake. Almasii haipo Tanzania pekee. Makaa ya mawe na gas havipo Tanzania pekee. Tuna madini lakini hatupo pekee yetu kiasi cha kuwafanya wawekezaji watupigie magoti. Acacia wanalazimika kunyenyekea kutokana na investment kubwa waliyowekeza nchini lakini kama wasingekuwa na permanent assets tusingekuwa nao mpaka sasa.
 
Helium , tanzanite, nickel haipo tanzania pekee
 
Hotuba ya rais wakati akikabidhiwa ripoti ya pili ilikuwa ni attention ya vyombo vingi vya habari wadau mbalimbali na potential investors pia
Rais anasisitiza juu ya kuvutia wawekezaji, kuwasamehe kodi za mwanzo na kusisitiza mara kwa mara mtendaji ndani ya serikali yake atakayeleta vikwazo kwa muwekezaji atamuondoa

Watu watasema tunajadili details zisizo na msingi kwenye hotuba ila kwa Investors anaye-contemplate juu ya kuja Tanzania attention yake inakuwa juu ya rais anavyodeal na wawekezaji waliopo nchini ndio anajua nchi hii ni rafiki ama sio rafiki na sio kusikiliza maneno anayomwambia rais akiwa anaongea nae

Kauli hiyo inatoa picha kuwa rais ni mbabe, asiyesikiliza reason ila akiktuhumu juu ya lolote unatakiwa ukiri na umlipe

Chukulia mfano huu
Umekodi shamba unapanda mahindi, makubaliano na mwenye shamba ni kuwa kila gunia 100 utakazovuna utamlipa gunia 2,
Mwenye shamba anakutuhumu unavuna mahindi mengi zaidi unamficha ili umpe gawio dogo, na kingine ni makubaliano ya gawio la kwanza hayapo fair, na amekuzuia kulima walakutoa mahindi

Mwenye shamba huyo anakuambia usithubutu kumshtaki kwa sababu una vifaa vyako shambani kwake...unatakiwa ukubali tuhuma zilivyo na na ulipe

Mwenye shamba kama huyo kama kuna mtu aliyekuwa anawaza kukodi shamba kwake ataenda kwake au atafikiria kukodi kwa mwingine na wenye shamba ni wengi?
wamejua jinsi walivyokuwa wakituibia do maana walikubali.Hawakutishwa bali walielezwa ukweli na ndo maana walikuja kwa ajili ya suluhu.Unajua huyu raisi wetu wa sasa,anatambua majukumu yake,na Mungu ambariki sana tena sana!
 
kila jambo lina mwisho wake,huwezi kuendelea kuibia familia miaka na miaka,lazima ile familia atazaliwa mtu atakaye kuja kutetea maslahi ya familia hiyo!Na ni Mungu mwenyewe ndo anafanya kutokana na vilio vya watu wengi kumfikia,haijalishi huyo mtu atazaliwa upande gani ili mradi ni muhusika wa familia!
 
Unajua sehemu aliyokuweka Mungu ndiyo sehemu sahihi,usiseme aaa,ngoja niende Ulaya ndo kuzuri nitapata raha,sema Mungu una makusudi kuniweka Tanzania maana kuna kitu Mungu unataka nifanye hapa kwa ajili ya kizazi changu yaani nchi yangu!Na ndicho nachoona anakifanya raisi wetu sasa hivi.Hajali mikataba inasemaje iliyoingiwa kipindi kile,anajali kitu gani nifanye juu ya nchi yangu,watu wangu hawa ulionipa niwaongoze,Na Mungu mkuu husimama pamoja na mtu wa aina hiyo!
 
Nchi zetu nyingi za kiafrika Tanzania ikiwa mojawapo zinaogelea katika dimbwi la umaskini huku zimefungwa nira za ukoloni mamboleo kwa kuwatumia vibaraka {baadhi ya viongozi wenye uchu wa ukwasi,madaraka}kutimiliza vitendo endelevu vya unyonyaji,ukandamizaji,wizi na uharamia wa rasilimali adhim.Ujambazi wa rasilimali umekuwa ukibatizwa majina mazuri ya kuvutia na kutia matumaini raia maskini waliokalia utajiri.
Yap,hawajui wanalofanya kuwa wanajiaibisha na ni watupu mbele za Mungu!Endelea kusema na Mungu juu ya nchi,usiangalia hao waliopotoka na kusaliti watu wa kwao!
 
Hii dhana ya kusema tutafukuza wawekezaji ni dhana potofu au inapigiwa chapuo tu la kisiasa lakini haina mantiki yoyote.

Hii ni dhana inayotumiwa sana na makampuni ya kibeberu ili yafutiwe kodi au yapewe nafuu kubwa ya kodi.

Nchi yoyote yenye maliasili zinazotafutwa kwa ''udi na uvumba'' haiwezi kukosa wawekezaji.

Tanzania ina maliasili zinazotafutwa kwa 'udi na uvumba' katika masoko ya Ulaya na Marekani.

Huko Libya pamoja na vita vinavyoendelea lakini makampuni ya nchi za Magharibi yanapigana vikumbo ili kuwekeza pamoja na kwamba mazingira ya uwekezaji sio endelevu.

Nenda DRC ukaone jinsi ambavyo wawekezaji wanapigana vikumbo katika migodi pamoja na kwamba nchi iko vitani katika maeneo yenye madini.

Nguo nyingi katika masoko ya Ulaya zinatoka katika nchi za Bangladesh na Turkey ambako wawekezaji kutoka Ulaya wamewekeza pamoja na kuwa kuna vikundi vya kigaidi ambavyo ni active.

Nenda Iraq, nenda Egypt and the list goes on and on...
You made my day man,WHO DARES WINS!
 
tunavutia wawekezaji kutoka Chato na kolomije wawekeze kwenye fisi na ungo za kupaa
 
Hotuba ya rais wakati akikabidhiwa ripoti ya pili ilikuwa ni attention ya vyombo vingi vya habari wadau mbalimbali na potential investors pia
Rais anasisitiza juu ya kuvutia wawekezaji, kuwasamehe kodi za mwanzo na kusisitiza mara kwa mara mtendaji ndani ya serikali yake atakayeleta vikwazo kwa muwekezaji atamuondoa

Watu watasema tunajadili details zisizo na msingi kwenye hotuba ila kwa Investors anaye-contemplate juu ya kuja Tanzania attention yake inakuwa juu ya rais anavyodeal na wawekezaji waliopo nchini ndio anajua nchi hii ni rafiki ama sio rafiki na sio kusikiliza maneno anayomwambia rais akiwa anaongea nae

Kauli hiyo inatoa picha kuwa rais ni mbabe, asiyesikiliza reason ila akiktuhumu juu ya lolote unatakiwa ukiri na umlipe

Chukulia mfano huu
Umekodi shamba unapanda mahindi, makubaliano na mwenye shamba ni kuwa kila gunia 100 utakazovuna utamlipa gunia 2,
Mwenye shamba anakutuhumu unavuna mahindi mengi zaidi unamficha ili umpe gawio dogo, na kingine ni makubaliano ya gawio la kwanza hayapo fair, na amekuzuia kulima walakutoa mahindi

Mwenye shamba huyo anakuambia usithubutu kumshtaki kwa sababu una vifaa vyako shambani kwake...unatakiwa ukubali tuhuma zilivyo na na ulipe

Mwenye shamba kama huyo kama kuna mtu aliyekuwa anawaza kukodi shamba kwake ataenda kwake au atafikiria kukodi kwa mwingine na wenye shamba ni wengi?
Haijalishi wenye shamba kuwa wengi,kila mmoja na mambo yake lakini msimamo wako ndio uzima wako,ukiona umekosa mapato kwenye shamba lako basi ongea na uliyemkodisha kuwa muwe mnalima wote ili mgawo uwe nusu kwa nusu,na ujitume!
 
Mnategemea wawekezaji?? Mtawekeza kwenye chuki na visasi.....miaka 10 mtaishia kujenga barabara na madaraja....ambayo ni kazi ya waziri 1 tu sio serikali nzima vingine vimesimama.....hadi uchumi umesimama!! Rahisi ni kipawa na kipaji sio kuokotana barabarani hata wenye ma fil yao........!!
Rais gani hajatoka barabarani?
 
Msidanganye watu. Madini hayapo Tanzania pekee yake. Watu wanaandika bila hata kujua hao wawekezaji walikujaje nchini.

Barrick hawakutaka kuja Tanzania. Serikali ya Mkapa ilitumia watu mbalimbali kuwashawishi waje Tanzania. Na aliyewezesha Barrifk kuja Tanzania ni Andrew Young, ambaye aliwahi kuwa balozi wa kudumu wa Marekani kwenye Umoja wa mataifa.

Miaka hii mitatu ya mwisho makampuni zaidi ya 160 ya utafiti madini yameondoka Tanzania. Yanayofanya utafiti sasa hivi Tanzania hayazidi 4. Hii ina maana tusitegemee migodi mipya siku za mbeleni.

Maeneo ambayo yana risk kubwa kama DRC, kwa kawaida makampuni makubwa yaliyojijenga hayaendi. Kampuni ndogo zinaweza kwenda maeneo kama hayo kwa sababu hayana ushindani.

Acacia kwa miaka minne ya mwishoni wamekuwa wanatafuta kila mbinu waondoke Tanzania. Tatizo kubwa ni kwamba hakuna kampumi inayotaka kununua assets zake kwa kuwa zipo kwenye mazingira magumu ya uwekezaji. Resolute waliondoka Tanzania siyo kwa sababu dhahabu iliisha bali hawakutaka kuendelea kuwekeza Tanzania. Waliondoka wakaenda Mali ambako wanachimba na kufanya utafiti.

Dhahabu haipo Tanzania pekee yake. Chuma hakipo Tanzania pekee yake. Almasii haipo Tanzania pekee. Makaa ya mawe na gas havipo Tanzania pekee. Tuna madini lakini hatupo pekee yetu kiasi cha kuwafanya wawekezaji watupigie magoti. Acacia wanalazimika kunyenyekea kutokana na investment kubwa waliyowekeza nchini lakini kama wasingekuwa na permanent assets tusingekuwa nao mpaka sasa.
Wengine watakuja hata kama madini yapo sehemu nyingine lkn yako sehemu ngapi? Maliasili sio ya kiwandani.
 
Back
Top Bottom