Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 19,931
- 34,414
Heshima sana,
Kuna kila dalili idadi ya watalii wanaokuja Tanzania kutembelea vivutio vyetu ikashuka sana kama hatua za dharura zisipochukuliwa haraka.
Kwa nikiri shughuli zangu za kutafuta mkate wa kila siku zinafungamana na wadau wa sekta ya utalii.Bahati leo nimekutana na wadau ambao wengi wameonyesha masikitiko yao kwakuwa watalii wengi wamefuta safari za kuja Tanzania baada ya serekali kuweka tozo la VAT kwa watalii wote watakaokuja kutembea vivutio vyetu ikiwemo hifadhi za wanyama.
Nawasilisha kwa mjadala wenye afya.