ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,269
- 22,001
Itaniuma sana hii......Kunako elekea FIFA itakufa
Wale wamarekani pale epl wanaliua kisawasawa soka la ulaya..
Itaniuma sana hii......Kunako elekea FIFA itakufa
Wanaliua vipi, tusiishi kwa mazoea aisee, kwani man city mmiliki wake ni mmarekani? Halafu soma linakufaje? Hutoi sababu halafu tunasema soma linakufa.Itaniuma sana hii......
Wale wamarekani pale epl wanaliua kisawasawa soka la ulaya..
Mnazoeana vipi wakati wachezaji wapya wanakupa? Halafu kumbuka hii ni ligi ya makundi kwa hiyo itakuwa inapingwa drop, timu 10/10 kwa hiyo unaweza kupita hata miaka 3 chelsea na Madrid wasikutane. Sasa sijui tunakwama wapi?Itakua ya kibabe kwa muda mfupi tu mkishazoeana na ubabe unaishia hapo...
Football fans won and Papa Perez lostjambo lingine sababu alizozitoa perez kwa wanahabar kiukweli zina mashiko ,uwekezaji wanaoufanya kwenye hizi timu vigogo ni mkubwa sana kuliko hata zawadi za mataji timu ikiwa bingwa kuanzia uefa hadi ligi , ukiongez na janga la korona ,kiukweli jamaa wanapata loss kubwa mfano man city ,psg ,juventus,madrid wananunua wachezaji hela nyingi ,mishahala mikubwa alafu timu inakuja kutolewa 16 bora ,kiukweli bora wamegundua hilo ,kwa pesa walizowekeza kwenye zawadi uefa europa league faida itaanza kuonekana ...
Nakujibu simpo tu sitaki kuumiza kichwajambo lingine sababu alizozitoa perez kwa wanahabar kiukweli zina mashiko ,uwekezaji wanaoufanya kwenye hizi timu vigogo ni mkubwa sana kuliko hata zawadi za mataji timu ikiwa bingwa kuanzia uefa hadi ligi , ukiongez na janga la korona ,kiukweli jamaa wanapata loss kubwa mfano man city ,psg ,juventus,madrid wananunua wachezaji hela nyingi ,mishahala mikubwa alafu timu inakuja kutolewa 16 bora ,kiukweli bora wamegundua hilo ,kwa pesa walizowekeza kwenye zawadi uefa europa league faida itaanza kuonekana ...