Uefa: Huyu Cr 7 ndiyo wa kumlinganisha na Messi ?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Nilichelewa kuona timu zilipoingia uwanjani game ya Juve na Bayerliverkusen,nimetazama game toka dkk ya 12 hadi dkka ya 40 jirani ya niliyekaa nae tukaulizana Hivi ronaldo hayupo kweli ? Wote tuka assume hayupo na jirani zetu pale hawakusema lolote mpaka wanatoka half time.
Baada ya matangazo mechi ikaanza Cr7 kaja kuonekana dkka ya 57...tukasema aah yupo...kumbe..yupo,tukashangaa imekuaje ? Akapata chance zaidi ya 4 zingine niyeye na kipa..amezipoteza ! Mwenzetu mmoja hapo akatuambia jamaa kapoa sana sasa hivi na kwamba kuna game ya karibuni ya ligi italy juve walicheza Cr 7 hakupiga shoot hata moja ktk historia yake haijawahi tokea.. na statistis zake zote zilisoma 0.0....siku hiyo..sasa kwa aliyeshuhudia game ya leo atakubaliana na hoja ya huyu striker kuwa chini ya kiwango nowadays kwa asilimia kubwa japo dakika za mwisho alibahatika kufunga goli moja kati ya matatu walioshinda juve.
 
Tatzo ni UMRI umeshamtupa mkono
 
Kashafika mwisho huyo sema watu hawataki kukubali!!!
 
Acha siasa.
Screenshot_20191002-182035.jpeg

Game ya mwisho ya serie A, tarehe 28/09/2019

https://www.whoscored.com/Matches/1...us-SPAL-2013 [ATTACH=full]1221874[/ATTACH]
 
Attachments

  • Screenshot_20191002-185305.jpeg
    Screenshot_20191002-185305.jpeg
    39.4 KB · Views: 15
Kashafika mwisho huyo sema watu hawataki kukubali!!!
Haya yeye kafika mwisho kwenye akaunti ana zaidi ya bilioni 250 za kitanzania, na bado zinazidi kuongezeka hata akitundika daluga na uzee wake mnaousema wa miaka 34 bado pesa zitazidi kuingia ..sasa wewe mkuu una miaka mingapi na benki kwako pakoje..
 
Nilichelewa kuona timu zilipoingia uwanjani game ya Juve na Bayerliverkusen,nimetazama game toka dkk ya 12 hadi dkka ya 40 jirani ya niliyekaa nae tukaulizana Hivi ronaldo hayupo kweli ? Wote tuka assume hayupo na jirani zetu pale hawakusema lolote mpaka wanatoka half time.
Baada ya matangazo mechi ikaanza Cr7 kaja kuonekana dkka ya 57...tukasema aah yupo...kumbe..yupo,tukashangaa imekuaje ? Akapata chance zaidi ya 4 zingine niyeye na kipa..amezipoteza ! Mwenzetu mmoja hapo akatuambia jamaa kapoa sana sasa hivi na kwamba kuna game ya karibuni ya ligi italy juve walicheza Cr 7 hakupiga shoot hata moja ktk historia yake haijawahi tokea.. na statistis zake zote zilisoma 0.0....siku hiyo..sasa kwa aliyeshuhudia game ya leo atakubaliana na hoja ya huyu striker kuwa chini ya kiwango nowadays kwa asilimia kubwa japo dakika za mwisho alibahatika kufunga goli moja kati ya matatu walioshinda juve.
alisikika mlevi mmoja
 
Back
Top Bottom