UEFA Champions League tangu 1955

jiwe gizani

JF-Expert Member
May 25, 2021
380
506
Hizi ndo timu ambazo zimebeba UEFA CL toka mashindano yalipoanzishwa mwaka 1955 ambapo wakati huo mashindano haya yakijulikana kama European Cup mpaka mwaka 1992 yakabadilishwa jina na kuitwa UEFA CL.

Na mbabe wa mashindano haya ni Real Madrid akiwa ametwaa ndoo 13 za UEFA CL mpaka Sasa ikiwa na rekodi ya kuchukua Mara 5 mfululizo.

Timu yangu Chelsea hapo imechukua Mara moja tuu mwaka 2012 ikimfunga Bayern Munchen pale Allianz Arena.

Timu yako imechukua Mara ngapi?

championsleague_1622103908746519.jpg
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom