UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,786
2,000
Wana unoma gani hawa si kama chama lako la Chamazi tu, safari ndio imewadia hapo Camp Nou watapoteana hawa. Naombea Andunje awe ameumia sana kapumzike kidugo tupumue, kila mechi yumo utafikiri Kaseja.

wewe kapata injury plus hamstring lakini dogo huwa mchawi atarudi ila usiwachukulie poa kabisa..
 

grafani11

JF-Expert Member
May 24, 2011
15,448
1,500
Hivi wadau kwanini vyombo vya habari vya Uingereza SKYNEWS, BBC baada ya kutolewa timu zao hazitoi matokeo ya UEFA? Mf. mechi za jana
 

punainen-red

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
1,732
0
Kweli nyie binadamu mna chuki binafsi na Barça! Yaani hakuna hata mmoja kati yenu anayegusia kuwa Ibra alifunga akiwa offside ya wazi kabisa!!!
 

chebi

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
1,735
1,500
Kweli nyie binadamu mna chuki binafsi na Barça! Yaani hakuna hata mmoja kati yenu anayegusia kuwa Ibra alifunga akiwa offside ya wazi kabisa!!!
na hata mimi nashangaa mkuu wameanza kuiponda barca lakini hata mmoja halioni hili hebu waambiye waangalie laitani angalikua ndio mesi kafunga goli hili ungalisikia mengiView attachment 89042
 

chebi

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
1,735
1,500
All result match live.PNG
 

obwato

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
1,188
1,195
Mimi ni mnazi mkubwa wa Madrid lakini kwa timu zilizobaki sitegemei uwezo wetu bali mapenzi ya BWANA.
 

gutierez

JF-Expert Member
May 14, 2010
1,249
1,170
Barca mbona wanafungika tu????
kuongea rahisi sababu mdomo haulipiwi kodi,PSG kwaheri,nawaheshimu ni wazuri ila pale estadio nou camp hata beki wamalize George Weah na Mrisho Ngasa mana Mascherano hatocheza,Barca ushindi tu,mechi ya marudiano hadi Ibrahimovic nae atarudi nyuma beki na itawagharimu maana kiungo wao bora Blaise Matuidi hatocheza,Thiago Silva kweli aliwasaidia ni beki mzuri namkubali laiti Barca wangempata huyu basi nina uhakika kipa Victor Valdes i Arribis au hata mimi tukikaa golini ni mechi 100 hatutookota mpira nyavuni,wanaweza kujitahidi kutoka kwa sare hata ya 0-0 au 1-1 lakini zaidi ya hapo PSG ni out kwa FC Barcelona hapo tarehe 10 April J5
 

gutierez

JF-Expert Member
May 14, 2010
1,249
1,170
Hivi wadau kwanini vyombo vya habari vya Uingereza SKYNEWS, BBC baada ya kutolewa timu zao hazitoi matokeo ya UEFA? Mf. mechi za jana
Hawakawii kudai UEFA Champs Ligi(UCL) haina msisimko ni timu mbili tu na Messi na Ronaldo kila mechi wanafunga tu,na wakadai EPL ni > kuliko UEFA Champs Ligi
 

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,171
2,000
Ni leo tena - mpango mzima wa klabu ya Paris St Germain inayomilikiwa na bilionea wa Qatar wa kutaka kuwa miongoni mwa timu tishio barani Ulaya na duniani kwa ujumla utafanyakazi? Leo tena nakabiliwa na mtihani mgumu leo wakati watakapowatembelea Barcelona katika mechi yao ya marudiano ya robo fainali ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.
"Tupeni mambo wenye uzoefa na ujuzi na mambo ya UEFA.
 

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,859
2,000
Barca 3-0 PSG, halafu nkukatishe kidogo,mpira sio hela peke yake Mancity wako wapi?,chelse je mpira ni adoption ya combination ya wachezaji waliokaa pamoja muda mrefu,sio kuokoteza tu kama Mancity au PSG

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,171
2,000
Italy and Germany champions face-to-face in Champions League, Wednesday 10 Apr 2013

Katika mechi hapa, leo nani atachomoka? ili apatikane mbabe wa kukutana na mbabe mwenzake!
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom