Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,477
- 4,768
Wakuu leo kutakuwa na mechi za Uefa Champions League,baadhi ya mechi za leo ni FC TWENTE ENSCHEDE vs ARSENAL,,,,,BARCELONA vs WISLA KRAKOW,,,,,JUVENTUS vs ARTMEDIA PETRZALKA,,,,,SCHALKE 04 vs ATLETICO MADRID,,,,,STANDARD LIEGE vs LIVERPOOL...........................Hizi ni third round qualifying matches