UEFA Champions League 2020/21: Nani kuwa Bingwa kati ya Manchester City na Chelsea?

Mwanzo mpira utaanza taratibu kwa timu zote kusomana, then naiona Chelsea ikipaki sana basi hivyo Man City watamiliki mpira muda mwingi wa mchezo, as soon as Man City wakipata goli la mapema ndio Chelsea watafunguka nao kwenda kushambulia hivyo kuacha gaps kwenye defence yao, mwisho wa siku Man City wataibuka na ushindi mnono wa magoli zaidi ya mawili.
 
Madrid wale wazee hawawezi tena kukimbia, the likes of Modric and Toni Kroos plus Marcelo na Ramos kujisifu mmewatoa wale nawashangaa sana, kama msingewatoa ndio ningewashangaa zaidi.

Hizo game ulizosema Chelsea alimfunga City Guardiola hakupanga kikosi cha maangamizi, ngojeni jumamosi ndio mtaiona City ya maangamizi na aina ya mpira watakaocheza, hamtapewa nafasi ya kupiga hata pasi tano, wakipoteza mpira wanakaba kama nyuki mtauachia mpira bila kupenda.

Nataka huyo Kante awepo halafu muone kama atafurukuta, City wanacheza kama machine, hawamtegemei mtu mmoja wale.
Uko wap wewe
 
Back
Top Bottom