Uefa Champion 2017, historia mpya itaandikwa RM atatea ubingwa!

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,113
24,642
Japokuwa imekuwa kizungumkuti kwa timu kutetea ubingwa katika mashindano ya uefa, kwa mwaka huu bila shaka hali itakuwa tofauti kabisa, Real Madrid itatetea ubingwa wake msimu huu!
Kwa timu zilizobaki zinazoingia nusu fainal hakuna timu itakayoweza kuizuia kutetea ubingwa, vizingiti vikubwa tayari vimeondolewa!
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Japokuwa imekuwa kizungumkuti kwa timu kutetea ubingwa katika mashindano ya uefa, kwa mwaka huu bila shaka hali itakuwa tofauti kabisa, Real Madrid itatetea ubingwa wake msimu huu!
Kwa timu zilizobaki zinazoingia nusu fainal hakuna timu itakayoweza kuizuia kutetea ubingwa, vizingiti vikubwa tayari vimeondolewa!
Utabiri wako umetimia mkuu...
Tusubiri mwakani kama ataendeleza ubabe!!
 
na bado na mwakani kama si man united ni real madrid tena.maana fainali ya mwakani fainali itapigwa kati ya Man united vs Real madrid .safi sana
 
Back
Top Bottom