UEFA 2021/22: Man. Utd kundi moja na Villarreal. Chelsea yapewa Juventus na Man. City kundini na PSG

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
2,018
2,000
Droo ya Klabu Bingwa Ulaya kwa msimu wa mwaka 2021-22 inachezeshwa leo huko Instanbul, Uturuki kuanzia majira ya saa 5pm (BST) au saa 1 jioni (Saa za Afrika Mashariki)

Timu 32 zitashiriki katika kupangiwa makundi, 26 zikiwa zimepita moja kwa moja na nyingine 6 zikitokea katika play-offs

Tumu zitapangwa katika makundi 8 yenye timu 4. Upangaji huo utatokana na makundi manne (Pots) yaliyowekwa sasa kabla ya upangaji.

Timu zinazotoka katika nchi moja hazitaweza kukutana katika hatua hii ya makundi

IMG_6125.jpg

Pot 1 ina jumuisha Bingwa wa UEFA, EUROPA na Bingwa wa kila Ligi katika nchi 6. Pot 2, 3, 4 inajumuisha timu zilizopangwa kutokana na nafasi zao katika viwango vya UEFA

MATOKEO YA DROO
F1CBE95D-0CBA-4411-98B3-E5D2FE18A633.jpeg
 
Interlacustrine R

JF-Expert Member
Feb 1, 2021
691
1,000
Droo ya Klabu Bingwa Ulaya kwa msimu wa mwaka 2021-22 inachezeshwa leo huko Instanbul, Uturuki kuanzia majira ya saa 5pm (BST) au saa 1 jioni (Saa za Afrika Mashariki)

Timu 32 zitashiriki katika kupangiwa makundi, 26 zikiwa zimepita moja kwa moja na nyingine 6 zikitokea katika play-offs

Tumu zitapangwa katika makundi 8 yenye timu 4. Upangaji huo utatokana na makundi manne (Pots) yaliyowekwa sasa kabla ya upangaji.

Timu zinazotoka katika nchi moja hazitaweza kukutana katika hatua hii ya makundi

View attachment 1909236

Pot 1 ina jumuisha Bingwa wa UEFA, EUROPA na Bingwa wa kila Ligi katika nchi 6. Pot 2, 3, 4 inajumuisha timu zilizopangwa kutokana na nafasi zao katika viwango vya UEFA
Kwani Wazee wa mikeka wenyewe wanasemaje kuhusu hili maana si haba kwa utabiri wa matokeo ya mechi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom