Udukuzi wa cryptocurrency japan

Udukuzi wa fedha za kidigitali watokea nchi Japan.
Kiasi cha Tsh billion 232 zadukuliwa huu ni udukuzi
wa pili mkubwa kutokea ambapo wadukuzi walifanikiwa kuingia kwenye system hio ya kampuni ya LiquidGlobal

Aaanteni
Ni white hat au black hat?
 
ebu soma tena mada na uelewe
kisha ndio ucomment
Nimesoma na nimeelewa na nakuelewesha kwamba Hao ni H white hat hacker ambao kazi yao kubwa ni kutafta matobo(vulnerability) kwenye system na kuziziba...kwaio ni kama hackers wengne ila walikuwa hawana lengo la kuiba pesa izo bali lengo ni kuonesha tu mfumo huo sio salama na pesa izo walizochukua walizirudisha
 
huu udukuzi wa pili sijasikia kama wamerudisha ebu tupe source iliyosema wamerudisha
 
Nimesoma na nimeelewa na nakuelewesha kwamba Hao ni H white hat hacker ambao kazi yao kubwa ni kutafta matobo(vulnerability) kwenye system na kuziziba...kwaio ni kama hackers wengne ila walikuwa hawana lengo la kuiba pesa izo bali lengo ni kuonesha tu mfumo huo sio salama na pesa izo walizochukua walizirudisha
haya poa kasome tena mada kisha edit COMMENT yako namba mbili sawa
Mwalimu wa Zamu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom