Je atapata kozi hii UDSM?

26 number

JF-Expert Member
Jun 3, 2016
337
133
Amani iwe nanyi waungwana,kuna mshkaji wangu ameapply apo UDSM course ya Bsc in agricultural and natural resources economy and business, O level alipata maths C, geography C, chemistry C, bios D, english C,na yeye alisoma diploma in animal health and production na kupata GPA ya 4.3.
Hivi anaweza akapata kweli maana ana wasiwasi saana,
 
Mwambie asuburi 92.10.2017 haiko mbali. Itategemea ushindani kwa watu wa Diploma na policy ya UDSM kuhusu watu wenye diploma. Pia sijui Diploma ya Animal Health and Production inauhusiano gani wa moja kwa moja na degree ya uchumi-nisiseme mengi tusubiri.
 
Amani iwe nanyi waungwana,kuna mshkaji wangu ameapply apo UDSM course ya BSC IN AGRICULTURAL AND NATURAL RESOURCES ECONOMY AND BUSINESS,O LEVEL alipata MATH C,GEOGRAPHY C,CHEMISTRY C,BIOS D,ENGLISH C,na yeye alisoma DIPLOMA IN ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION na kupata GPA ya 4.3.Ivi anaweza akapata kweli mana anawasiwasi saana,
Huyo mwambie ajiandae tu nashule lazima atachaguliwa.
 
Mwambie asuburi 92.10.2017 haiko mbali. Itategemea ushindani kwa watu wa Diploma na policy ya UDSM kuhusu watu wenye diploma. Pia sijui Diploma ya Animal Health and Production inauhusiano gani wa moja kwa moja na degree ya uchumi-nisiseme mengi tusubiri.
Kwa mujibu wa guidebook inauhusiano na anaruhusiwa kuomba na pia anasema wapo wengi wanaingia mwaka wa pili now na walisoma course hiyo ya Animal healthy,
 
Hiyo coarse hawafanyi selection wala admission walizuiliwa na wizara
Emu angalia izo screen short mkuu au kunatangazo walitoa lingine kwamba hawato dahili tena kwa course hiyo?
Screenshot_20170918-202622.png
Screenshot_20170918-202500.png
 
Mwambie asuburi 92.10.2017 haiko mbali. Itategemea ushindani kwa watu wa Diploma na policy ya UDSM kuhusu watu wenye diploma. Pia sijui Diploma ya Animal Health and Production inauhusiano gani wa moja kwa moja na degree ya uchumi-nisiseme mengi tusubiri.

Kwa mujibu wa vigezo vyao kama alivyoeleza jamaa hapo juu, mtu wa animal health and production anachukuliwa kusoma kozi hiyo.

UHUSIANO;-
Mtu wa diploma tajwa hapo juu anakua amesomea tiba na uzalishaji wa wanyama (hasa mifugo) kama sehemu ya kilimo. Wakati huo kuna wenzake wanakua wamesoma uzalishaji wa mazao (mimea) na wengine uzalishaji samaki.

Kwa mjumuiko wao hao watu tajwa hapo juu wanakua wamesoma namna ya "kuongeza mavuno", sasa swali linakuja je, nini kinafuata baada ya hayo mavuno kuongezeka ?

Hapa ndipo Uchumi na Biashara vinapoingia rasmi kwenye kilimo.

Uchumi na biashara katika kilimo, kinahusisha pamoja na mambo mengine, ni namna gani uzalishaji ufanyike kwa kutumia rasilimali chache (scarce resources), Taarifa za masoko, uongezaji wa thamani kwa mazao ya kilimo, ushiriki wa taasisi za kifedha kwenye kilimo, Sera mbalimbali zinazohusu kilimo n.k.

Kwa hiyo kozi ya Agricultural and natural resources economics and business ni stahiki kabisa kwa diploma tajwa hapo juu na nyinginezo zilizopo chini ya mwavuli wa Kilimo na maliasili.

Kwa lolote karibu...
 
Kwa mujibu wa guidebook inauhusiano na anaruhusiwa kuomba na pia anasema wapo wengi wanaingia mwaka wa pili now na walisoma course hiyo ya Animal healthy,
Kama kuna wengi walio naqualification hiyo wanaingia mwaka wa pili basi uwezekano wa yeye kupata ni mkubwa. Niliuliza uhusiano kwa sababu sijui kwenye hiyo dip. ya animal health and production wana economics kiasi gani? Je economics waliofanya inatosha kuwata tayarisha na hii program. Nilifikiri watu wanaochukua Farm Management wana economics zaidi. Guide book hiyo inasema diploma in relevant subjects labda upate admission guide ya UDSM itakuwa na maelezo zaidi. Lakini kama last year walichukuliwa na mna uhakika basi poa.

Ahsante mkuu nahisi umefafanua vizuri sana,na hii itasaidia ata wengine pia,
 
Kama kuna wengi walio naqualification hiyo wanaingia mwaka wa pili basi uwezekano wa yeye kupata ni mkubwa. Niliuliza uhusiano kwa sababu sijui kwenye hiyo dip. ya animal health and production wana economics kiasi gani? Je economics waliofanya inatosha kuwata tayarisha na hii program. Nilifikiri watu wanaochukua Farm Management wana economics zaidi. Guide book hiyo inasema diploma in relevant subjects labda upate admission guide ya UDSM itakuwa na maelezo zaidi. Lakini kama last year walichukuliwa na mna uhakika basi poa.

Relevance ya hiyo diploma na diploma nyingine za kilimo kwa kozi ya Agricultural Economics haitokani sana na "How much of a knowledge of Economics is in those diploma courses". Bali inatokana na " hawa (wenye hizo diploma) ndio wenye kilimo chao, kwahiyo tuwaendeleze kimaarifa ili hicho kilimo chao kifanywe kibiashara na kiuchumi", na ndio maana ukiangalia hiyo kozi inatolewa kwenye Chuo cha kilimo (Bsc. AEA pale SUA) na hiyo ya UDSM (Bsc. ANEB) iko chini ya college ya kilimo, vinginevyo ingekuwa chini ya shule ya biashara (UDBS).

Lakini ukiangalia contents za hiyo kozi (Agricultural Economics) utagundua kwamba ni kozi ya uchumi zaidi kuliko ambavyo ni kozi ya kilimo. (It is much economic and less agricultural). Kwahiyo kimantiki, kuhoji hiyo Relevance ya mtu wa diploma ya mifugo (nadhani dhidi ya mtu wa diploma ya uchumi na biashara) unakua uko sahihi kwa namna fulani.
Lakini nikukumbushe tu kwamba kozi za shahada za uchumi kwa ujumla kwa hao wenye diploma za uchumi zimejaa tele huko Mzumbe, UDSM(UDBS), CBE, IFM, na kwingineko. Kuwadahili hawa kwenye Agricultural Economics dhidi ya wanakilimo wenyewe ni sawa lakini si sawa kwa maana ya kwamba "it is right but not fair". Itakuwa ni kama "unawaleta wataalam wa uchumi kwenye kilimo" badala ya "kuleta utaalam (kuwapa utaalam wa uchumi) watu wa kilimo".

Sasa nikujibu hili swali lako;

Je, kwenye Diploma in animal health and production kuna contents za uchumi na biashara ?

Kwa sababu shughuli ya ufugaji ni shughuli ya kiuchumi, na ni biashara pia, hao wenye hiyo diploma huwa wanafundishwa baadhi ya masomo yenye muelekeo wa uchumi na biashara. Nakumbuka kwa uchache wanasoma "Principles of Production Economics and Marketing" na "Livestock Enterprise Establishment and Management".

Suala la kumudu au kutokumudu litatokana na jitihada za mhusika, yote kwa yote Oktoba 2 itaamua.

Kwa lolote karibu.
 
Nimekupata mkuu, ninachosema ni kuwa kwa sababu wameandika relevant diplomas na hawakuzitaja basi ni wao watakaoamua, na lolote laweza kutokea. Wakitupa mrejesho ingesaidia sana baada ya 02.10.2017. Bila kuwa prejudiced-UDSM lazima wataangalia content ya economics kwenye hizo diploma na mtu yeyote ambae yuko kwenye hizi higher education institutions atakuhakikishia hilo. Utaona miaka ya nyuma wanachukua zaidi EGM.
 
Back
Top Bottom