UDSM Wanasayansi ila Michango yao haionekani katika Taifa la Tanzania

Ki vipi mkuu ungetuelimisha kidogo

Matatizo mengi ya Tanzania hayatatatuliwa na hard sciences e.g kukithiri kwa rushwa, uongozi mbovu, elimu duni, maambukizo ya ukimwi, mimba za watoto etc.
Haya matatizo yanahitaji social scientists wafanya utafiti ili wagundue ni njia gani ya kuibadilisha jamii.

Kama kuna utafiti umefanyika kufananisha matokeo ya kuwaambia wasichana wadogo kuwa kufanya mapenzi na watu wazima ni hatari Vs kuwaambia wasifanye mapenzi kabisa.
Matokeo yanaonyesha ujumbe wa kwanza unapunguza maambukizo ya Ukimwi zaidi kuliko wa pili. Naongelea utafiti kama huu.

Kama wanafuata scientifi method hakuna haja ya kubagua kati ya hizi sciences.
 
Labda tatizo ni brain drain ambayo mataifa mengi ya Kiafrica yamepata na watu wengi hawa wapo na hakuna funding za kutosha kwa ajili ya kufanya na kuweka mambo katika reality badala kwenye makaratasi kama ilivyo kwa Tanzania
 
hata Tanzania watu wote tuwe na Phd kama za hao hapo ,nothing will change!
hawana projects za kutisha,majew juzi wamerusha drone !Je hawa wenzetu wanaweza ?

Wazungu hawajali kukupa Phd,wanajua huwezi hata kudesign kitu chako original.
Wachina sasa wametupiku,sio siri ukinipa mchina injinia ajenga any landmark project ,natmkubali zaidi mwenye Phd hapo Mlimani!
Kwa nini?wa mlimani ni rhetoric too,hawana any project reknown ambayo unasema ni engineering success!

Tatizo la Tanzania ni siasa isiyo jali technology (ukweli). Nenda hata hizo nchi unazo sema kama china, india n.k. ni kwamba wataalamu wao wananwezeshwa kwa serikali kuwekeza ktk tafiti mabali mbali. Halafu wanajitahidi kutumia bidhaa ambazo wanatengeneza wenyewe kt ofisi za serikali ili kuimarisha ufundi wa ndani.

Lakini nenda ofisi za serikali TZ kila ofisi hata kikombe cha chai ni kutoka china au taiwani kwa nini?

Uchumi wa nchi haukuzwi na biashara ya mitumba ya kutoka nje, lazima serikali iwekeze ktk elimu yote kwa ujumla (science & Technology) na siyo porojo. Wahandisi wa Mlimani mimi nawaaminia sana kwa sababu wananfanya makubwa kwa nchi za wenzetu lakini hapa kwa kuwa tunaendekeza siasa za kijinga tutaishia hapo.

Nenda Namibia kaulize wahandisi wa Kitanzania walivyo iendeleza ile nchi....watakwambia.
 
Ukilinganisha Taifa letu Tanzania katika tafiti nyingi sana bado tupo nyuma sana katika kukuza sayansi na nyanja zote ili kufanya maendeleo halisi kwa watu wetu, Katika pitapita yangu, utaweza kuona kama chuo Kikuu UDSM kina wasomi wazuri sana na walibobea katika kila fani ila bado taifa linaumwa ugonjwa wa ajabu sana katika sayansi, Sasa Tazama wasomi wetu na michango yao katika taifa letu Tanzania.

Professor and Principal CoET

B.L.M. Mwamila,
B.Sc.(Eng.), M.Sc.(Dar), Ph.D. (Stockholm), FIE, Reg .Eng. (T), C.Eng. (T)
Associate Professor and Deputy Principal for Academic, Research and Consultancy
I.B. Mshoro,


M.Sc.(Eng.) (Riga), Ph.D. (Dar), MCI, Reg. Eng.(T).
Associate Professor and Deputy Principal for Planning, External Links, Finance and Administration
N.M. Lema,


B.Sc. (Eng.), (Dar), M.Sc., Ph.D. (Loughborough)
Senior Lecturer and Director, Bureau for Industrial Co-operation (BICO)
A.L. Kyaruzi,


B.Sc.(Eng.), M.Sc.(Eng.) (Dar); D.Sc. (George Washington)
Assoc. Professor and Director, Technology Development and Transfer Centre
H.H. Katalambula,


B.Sc.(Eng.) (Dar); M.Sc.(Eng.) (Nova Scotia); Ph.D. (Hokkaido, Japan)
Senior Lecturer and Head, Finance
D.L. Nyaoro,


B.Sc.(Eng.) (Dar); M.Sc., Ph.D. (London)
Senior Lecturer and Head, Planning
C.Z.M. Kimambo,


B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.) (Reading), Ph.D. (City Univ. London)
Head, Central Technical Services
Mr. J. K. Kamara, HND (Glamogan University, UK); PGD [EME], MEM (Dar)
Associate Professor and Coordinator, External Links
G.D.E. Mrema,


B.Sc., M.Sc. (Dar), Ph.D. (Trondheim)
Associate Professor and Coordinator, Postgraduate Studies
M.A.M. Victor,


B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.) (Arizona State), Ph.D. (Eindhoven)
Senior Lecturer and Coordinator, Undergraduate Studies
N.G. Nalitolela,


B,Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.) (New Castle), Ph.D. (Aston), Reg. Eng. (T)
Associate Professor and Coordinator, Research and Publications
G.R. John,


B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.), Ph.D. (Leeds)
Principal Administrative Officer and Head of Administration
W.K. Kalembo,


B.A., M.A. (Dar), M.I.R& Diplomacy (IU Japan)
Chief Workshop Instructor and Head College Training Workshops


(TWS)
Mr M. Roman, AD[Electonics & Instrumentation] (Dar); CISCO Networking (UCC); PGD
[EME] (Dar)
294 UDSM Prospectus: 2007/8 - 2009/10
FACULTY OF CIVIL ENGINEERING AND THE BUILT ENVIRONMENT
Associate Professor and Dean of the Faculty
J.J. Msambichaka, B.Sc.


(Eng.) (Mysore), M.Sc. (Dar), Dr. - Ing. (Dortmund)
Department of Structural Engineering
Senior Lecturer and Head of the Department
P. Ndumbaro,


Dipl. Ing. (Sofia), M.Sc. (MIT), Ph.D. (Imperial)
Professor
B.L.M. Mwamila,


B.Sc.(Eng.), M.Sc.(Dar), Ph.D. (Stockholm), FIE, Reg .Eng. (T), C.Eng. (T)
Associate Professor
J.J. Msambichaka, B.Sc.


(Eng.) (Mysore), M.Sc. (Dar), Dr. - Ing. (Dortmund)
Senior Lecturers
A.L. Mrema,


B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Strathclyde), Ph.D. (Colorado State)
L. Lwambuka, Dipl. Ing. (Dresden), Dr. Ing. (Kassel)
I.A. Rubaratuka, M.Sc., Ph.D. Ukraine (USSR)
A.A. Shirima, B.Sc. (Eng.), (Dar), Dipl. Ing. (Darmstadt), Dr. Ing (Kassel)
Lecturers
J.K. Makunza,


B.Sc., M.Sc. (Dar), Dr. Ing. (Dortmund)
F.X. Momanyi, Dott. Ing. (Bologna), Ph.D. (Bologna)
Tutorial Assistants
L. H. Kalenga, BSc. (Dar)
H. Meleki, BSc. (Dar)
Department of Transportation and Geotechnical Engineering
Senior Lecturer and Head
E.N. Masaoe,


B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Strathcyde), Ph.D. (Dar)
Associate Professors
A.L. Kyulule,


B.Sc. (Civil Eng.) Nairobi, M.Sc. (Eng.) (Dar), Dr. Sc. Tech. (Zurich)
T. Rwebangira, B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Birm. U.K), Ph.D. (Oregon State)
Senior Lecturers
D.A. Mfinanga,


B.Sc. (Eng.), (Dar), M.Sc. (Miyazaki), Ph.D. (Kyusho)
D.L. Nyaoro, B.Sc. (Eng.), (Dar), M.Sc., Ph.D. (London)
Lecturer
*H. Bwire,


B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Dar) Ph.D. (Dar)
*On study leave
College of Engineering and Technology


295
Assistant Lecturers
*P.M.S. Bujulu,


B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Eng.) (Hanov.)
*A. W. Lyimo, B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Dar)
Tutorial Assistants
E. Edward, B.Sc. (Dar)
E. Fungo, B.Sc. (Dar)
H. Mteri, B.Sc. (Dar)
J. Ijumulana, B.Sc. (Dar)
Department of Water Resources Engineering
Professor and Head
F.W. Mtalo,


B.Sc. (Eng.), M.Sc. (Dar), Dr. Ing. (Munich)
Professor
***T.S.A. Mbwette,


B.Sc. (Eng.), M.Sc. (Dar), Ph.D. (London)
Associate Professors
D.A. Mashauri,


B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Dr. Tech. (Tampere)
A.W. Mayo, B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Tampere), Ph.D. (Tohoku)
F.L.M. Mwanuzi, B.Sc. (Eng) (Dar), M.Sc., Ph.D. (Brussels)
Senior Lecturer
S.H. Mkhandi,


B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Galway), Ph.D. (Dar)
Lecturers
D..M. Mulungu,


B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc., Ph.D (Kyoto)
R. J. Kimwaga, B.Sc. (Eng.), M.Sc. (WRE), Ph.D (Dar)
T. A. Kimaro, B.Sc. (Eng.), M.Sc., (Dar), Ph.D. (Kyoto)
J. Norbert, B.Sc., MSc. (Dar) Ph.D (Yokohama)
Assistant Lecturers
P.D. Ndomba,


B.Sc. (Eng.); M.Sc. (Dar)
S. Munishi, B.Sc.; MSc (Dar)
Department of Construction Technology and Management
Lecturer and Head
L.M. Chamuriho,


B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Illinois at Urbana-Champaign), Ph.D (Tokyo)
Associate Professor
N. M. Lema,


B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc., Ph.D, (Loughborough)
*


On study leave *** On leave of absence
296 UDSM Prospectus: 2007/8 - 2009/10
Senior Lecturer
***L.H.M. Shirima,


B.Sc. (Eng.), M.Sc. (Eng) (Dar), Dr. Ing. (Dortmund)
Lecturer
***R.S. Mlinga,


B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Birmingham), Ph.D (Cape Town)
Assistant Lecturer
*M.M. Samson,


B.Sc. (Eng.); M.Sc. (Dar)
***Eva Lupembe, B.Sc. (Eng.) (Makerere); MSc. (Dar)
Tutorial Assistants
E. Moshi,


B.Sc. (Dar)
R. Mahundi, B.Sc. (Dar)
P.Z. Holela, B.Sc. (Dar)
FACULTY OF ELECTRICAL AND COMPUTER SYSTEMS ENGINEERING
Associate Professor and Dean of the Faculty
A.H. Nzali,


B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.) (Aston), Ph.D.(Dar), MIET, MIEEE, R. Eng. (T)
Department of Electrical Power Engineering
Professor and Head
D.J. Chambega,


M.Sc.(Eng.) (Moscow), Ph.D. (Strathclyde)
Associate Professors
A.H. Nzali,


B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.) (Aston), Ph.D.(Dar), MIET, MIEEE, R. Eng. (T)
B.M.M. Mwinyiwiwa,


B.Sc.(Dar), M.Eng. (McGill), Ph.D. (McGill), MIET, Member IEEE, R. Eng. (T)
Senior Lecturers
A.L. Kyaruzi,


B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc., D.Sc. (George Washington), MIEEE, R.Eng. (T)
B.J. Kundy, B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Strathclyde), Ph.D. (Stellenbosch)
M.J. Manyahi, B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Strathclyde), Ph.D. (Uppsala)
N.K. Lujara, D.Ing ( Rand Afrikaans)
Assistant Lecturers
N. Mwakabuta, B.Sc.[Eng]; M.Sc. [Eng] (Dar)
S. Kihwele, B.Sc.[Eng]; M.Sc. [Eng] (Dar)
Department of Computer and Systems Engineering
Senior Lecturer and Head
N.H. Mvungi,


B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.) (Salford), Ph.D. (Leeds), MIET, R. Eng (T), AMSTS
Senior Lecturer
B.R.B. Bagile,


B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Bradford), Ph.D. (Southampton)
*


On study leave *** On leave of absence
College of Engineering and Technology


297
Lecturer
F.M. Ishengoma,


B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Bradford)
Assistant Lecturers
C. Simalenga,


B.Sc. (Electronic Sci. & Com.) (Dar), M.Sc. (Comp. Sci.) (Franklin)
E.A. Kalinga, B.Eng. (Elect &Electronics) (Mysote), M.Sc. (Electronics & IT) (Dar), MIET, R.
Eng.(T)
J. Anatory, B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Elect. Eng.) (Dar)
Department of Telecommunications Engineering
Senior Lecturer and Head
M.M. Kissaka,


B.Sc. (Eng.) (Dar), Ph.D. (Manchester), R. Eng.(T)
Professors
M.L. Luhanga,


B.Sc.(Eng.) (Hons), M.Eng. (Cal Poly), PGCE (Leeds), M.Phil., Ph.D. (Columbia),
R.Eng. (T), FIET, Member TEEE (USA), Member, Eta Kappa Nu, Member, Sigma Xi
Lecturers
D.D. Haule,


B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc., Ph.D. (McGill)
A. Mvuma, B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.,(Shimane), Ph.D. (Hiroshima)
Assistant Lecturers
*O.F. Hamad, B.E, M.E. (Mesra, Ranchi – India)
C. John, B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc. (Electronics Eng. ) (Oita)
C. Mwase, B.Sc.(Bath) (Dar), M.Sc.(Eng.),(Briston),
L.V. Massawe, B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Eng.) (Ryukyu)
S. Naiman, B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Tel) (Dar)
H.U. Iddi, B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Tel) (Dar)
Tutorial Assistant
K. Mkocha, B.Sc. (Tel.) (Dar)
FACULTY OF MECHANICAL AND CHEMICAL ENGINEERING
Professor and Dean of the Faculty
J.H.Y. Katima,


B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Phil.(Loughborough), Ph.D. (Leeds), F.I.E.T., C. Eng. (T)
Department of Chemical and Process Engineering
Senior Lecturer and Head
S.V. Manyele,


B.Sc.(Eng.), M.Sc. (Dar). Ph.D. (Western Ontario)
Associate Professors
M.R. Halfani,


B.Sc. (Dar), M.Sc. (Toronto), Ph.D. (Leeds)
G.D.E. Mrema, B.Sc., M.Sc. (Dar), Ph.D. (Trondheim)
298 UDSM Prospectus: 2007/8 - 2009/10
Senior Lecturer
E. Masanja,


B.Sc. (Eng.) (Dar); M.Phil., Ph.D. (Edinburgh)
A.K. Temu, B.Sc.(Eng.) (Dar); M.Sc., Ph.D. (Trondheim)
K.N. Njau, B.Sc.(Eng.) (Dar); M.Sc. (Trondheim), Ph.D. (Eindhoven)
O. Kaunde, B.Sc.(Eng.) (Dar); M.Sc., Ph.D. (Leeds)
R.J.A. Minja, B.Sc.(Eng.) (Dar); M.Sc. (Ottawa), Ph.D. (NTNU, Trondheim)
E. Elisante, B.Sc.(Eng.) (Dar); M.Sc.(Eng.) (Arizona), Ph.D. (Tohoku)
J.W. Ntalikwa, B.Sc.(Eng.), M.Sc. (Dar); Ph.D. (Wales)
O. Kibazohi, B.Sc.(Eng.) (Dar); M.Sc., Ph.D. (Waterloo)
Lecturers
L.M.P. Rweyemamu,


M.Sc. (Eng.) (Moscow), Ph.D. (TU, Bergakademie Freiberg, Germany)
Z.P.G. Masende B.Sc. (Eng.), M.Sc. (Dar). Ph.D. (Eindhoven)
Assistant Lecturers
H.M. Hirji,


B.Sc. [Eng], M.Sc. (Dar)
B. Eshton,


B.Sc. [Eng], M.Sc. (Dar)
Tutorial Assistants
S.M. Mahir,


B.Sc. [Eng] (Dar)
L. Daniel, B.Sc. [Eng] (Dar)
Department of Mining and Mineral Processing Engineering
Senior Lecturer and Head
S.J.E. Maronga,


B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Texas A & M), Ph.D. (KTH-Stockholm), Reg. Eng. (T)
Senior Lecturers
H.T.H. Kimweri,


B.Sc. (Eng.) (Dar), M.A.Sc. (Ottawa), Ph.D. (British Columbia)
A.J. Itika, B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc. (Eng.) (Leeds), Ph.D. (TU-Clausthal), Reg. Eng. (T)
Lecturer
A.T.S. Massawe,


M.Sc.(Min.Eng.) (Friendship), Ph.D. (Moscow)
Assistant Lecturers
*S.G. Mwafwenga,


B.Sc. (Min. Sc.) (Zambia), M.Sc.(Min. Eng.) (South Illinois), Reg. Eng. (T)
*L.S. Shempemba, Adv. Dipl. (Ardhi), M. Eng. (Mine Surv.) (Leoben)
A.E. Mlaki, B.Sc. (Min. Tech.) (Zambia), M.Sc.(Min.Prod.) (London), Reg. Eng. (T)
K.R. Baruti, B.Sc. (Min. Eng.) (Zambia), M.Sc.(Env. Manag.) Australia), Reg. Eng. (T)
Tutorial Assistants
A. J. Salama,


B.Sc [Eng.] (Dar); M.Sc. (Ecole de Mines)
R. Jackson, B.Sc [Eng.] (Dar)
D. R. Mfanga, B.Sc [Eng.] (Dar)
J. J. Mgumbwa, B.Sc [Eng.] (Dar)
* On study leave
College of Engineering and Technology


299
Department of Design and Production Engineering
Senior Lecturer and Head
W. Nshama,


B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.), Ph.D.(Queen’s), Reg. Eng.(T)
Associate Professors
B.M. Mutagahywa,


B.Sc.(Eng.), M.Sc.(Eng.) (Dar), Ph.D (Loughborough), Reg. Eng.(T)
I.B. Mshoro, M.Sc.(Eng.) (Riga), Ph.D.(Dar), MCI, Reg. Eng.(T)
B.B. Nyichomba, B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.), Ph.D. (Birmingham), Reg. Eng.(T)
Senior Lecturers
B.A. Majaja,


B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.), Ph.D. (UC Davis), Reg. Eng.(T)
N.G. Nalitolela, B,Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.) (Newcastle UponTyne), Ph.D. (Aston), Reg. Eng. (T)
E. Elias, B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.) (Newcastle UponTyne), Ph.D. (Strathclyde), Reg. Eng.(T)
E.Z. Opiyo, B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc. (CAD/CAM) (Cranfield)
Lecturers
S.J. Kimaro,


B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.) (Loughborough)
T.E. Mwinuka, B.Sc. (Eng.), M.Sc. (Dar), M.Sc. (Warwick)
Assistant Lecturers
M.I. Mgwatu,


B.Sc. (Eng.) (Dar), M.A.Sc. (Eng.) (Ottawa)
D. Angelo, B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.) (Strathclyde), Reg. Eng.(T)
Tutorial Assistants
S. Ibrahim,


B.Sc. (Dar)
S. Marandu, B.Sc. (Dar)
Department of Energy Engineering
Associate Professor and Head
I.S.N. Mkilaha,


B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Eng., Dr.Eng. (Toyohashi)
Associate Professors
H.H. Katalambula,


B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.) (Nova Scotia), Ph.D. (Hokkaido, Japan)
G.R. John, B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.), Ph.D. (Leeds)
Senior Lecturers
C.F. Mhilu,


M.Sc.(Eng.) (Leningrad), Ph.D. (Leeds)
M.H. Mkumbwa, B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.), Ph.D. (Strathclyde)
E.J.M. Mushi, B.Sc. (Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.), Ph.D. (Leeds)
C.Z.M. Kimambo, B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.) (Reading), Ph.D. (City Univ. London)
H.M. Rajabu, B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc. (Leeds). Ph.D. (Dar)
300 UDSM Prospectus: 2007/8 - 2009/10
Lecturer
F.A. Chami,


FTC (Dar), M.Sc. (Eng.) (Moscow) Ph.D. (Dar)
Tutorial Assistants
*M. Mtebwa,


B.Sc. Eng (Dar)
*I.A. Legonda, B.Sc. Eng (Dar)
*J. Kihedu, B.Sc. Eng (Dar)
Department of Engineering Management and Entrepreneurship
Associate Professor and Head
E.A.M. Mjema,


B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.) (Alberta), Dr.Ing. (Aachen Univ. of Technology)
Associate Professors
M.A.M. Victor,


B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.) (Arizona State), Ph.D. (Eindhoven)
B.A.T. Kundi, B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.), Ph.D. (Waterloo)
Senior Lecturers
A.S. Chungu,


B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.), Ph.D. (AIT, Thailand)
Lecturers
G.S. Mwaluko,


B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.) (Strathclyde), Ph.D. (Cape Town)
Assistant Lecturers
J. Mohamed,


B.Sc. (Eng.) (Dar), M. Sc. (Dar)
J. Kafuku, B.Sc. [Eng.], MEM (Dar)
Tutorial Assistants
J. Machuve,


B.Sc (Dar)
J. Ngowi, B.Sc (Dar)
Department of Engineering Materials
Associate Professor and Head
J.V. Tesha,


B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.), Ph.D. (Cranfield)
Professor
J.S. Mshana,


B.Sc.(Eng.) (Nairobi), M.A.Sc.(Eng.), Ph.D. (Ottawa), C. Eng., MIMECHE, R. Eng. (T)
Associate Professor
S.J. Shine,


B.Sc. (UEA-Nairobi); M.Sc.[Tech] (Manchester); MBA (Botswana); Ph.D. (California)
Senior Lecturer
J.J. Runyoro,


B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.) (Cranfield), Ph.D. (Birmingham), Reg. Eng. (T)
C.W.M. Nyahumwa, B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.) (Queen’s), Ph.D. (Birmingham),Reg. Eng. (T)
* On study leave
College of Engineering and Technology


301
L.Y. Mwaikambo, ATI (Text. Tech) (Bolton),


M.Sc.(Mech. Eng.) (Dar), Ph.D.(Bath)
Lecturers
A.N. Towo,


B.Sc.[Eng.] (Dar), M.Sc. (Urbun), PhD (Bath), Reg. Eng. (T)
B. Ndazi, B.Sc. [Eng.], M.Sc. [Eng.](Dar) Ph.D. (Dar)
Assistant Lecturers
*L.A. Mbaruku,


B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.) (Lancaster)
*P.B. Msemwa, B.Sc.(Eng.), M.Sc. (Dar)
Tutorial Assistants
E. Ngesa,


B.Sc. [Prod. Eng.](Dar)
I. Macha, BSc. [Chem & Proc. Eng] (Dar)
Technology Development and Transfer Centre
Associate Professor
H.H. Katalambula,


B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc.(Eng.) (Nova Scotia), Ph.D. (Hokkaido, Japan)
Senior Lecturer and Deputy Director for Technology Development
J.W. Ntalikwa,


B.Sc.(Eng.), M.Sc. (Dar), Ph.D. (Wales)
Senior Lecturer and Deputy Director for Technology Brokerage
A.K. Temu,


B.Sc.(Eng.) (Dar), M.Sc., Ph.D. (Trondheim)
* On study leave
302


Kama unafikiria kwamba Mhandisi au mwana sayansi basi akimaliza shule anakuwa na mashine ya kuzalisha pesa na kutengeneza au kuvumbua vitu mbali mbali kwa mkono mitupu wafwa.

Jiulize kwa nini leo watanzania tunakimbilia India kusomesha watoto wetu na kutibiwa? Je, Tanzania madaktari hakuna? Je, serikali mbona imeshindwa hata kuisadia taasisi ya Dr. Ferdinandi Massau ili waweze kutoa tiba ya moyo hapa Tanzania?

Ukijaribu kujibu haya maswali utajua kwa nini Engineers wetu wanakimbilia ktk siasa. Labda swali la mwisho, mshahara wa mbunge ni shs ngapi na mshahara wa PhD hlder ni shs ngapi?

 
Tatizo kubwa sana katika Taifa letu ni kwamba Siasa tumeweka mstari wa mbele za kuliko kuinvet kwenye mambo ya msingi ya utafiti na kuleta kwenye reality na sio makaratasi na pia hata mfumo kidogo wa elimu unawafany watu kukariri kutwa nzima bila ya matokeo chanya maana kuna ulazima wa kufanya hivyo
 
kwa mchezo huo bongo hatufiki popote!
Ndio maana unaweza kuona kuwa kama kweli tunalitakia mema taifa hili basi kuna ulazima kuweka pesa za utafiti na kuwa na bajeti kubwa na sio kama hivi ilivyo sasa hivi, Pesa za kwenye R&D ni dogo sana
 

Saturday February 27, 2010
Local News
Governement directs scientists to put research findings to use

MUHIDIN ISSA MICHUZI, 26th February 2010 @ 11:00, Total Comments: 0, Hits: 136

THE government has challenged scientists to make use of their research findings to solve health problems among Tanzanians instead of letting them gather dust on shelves.

This will be part of its plan to raise the budget for the National Institute for Medical Research (NIMR) to fulfil the Millennium Development Goal of setting aside two per cent of the Ministry of Health and Social Welfare’s budget for research.

Inaugurating the NIMR Council in Dar es Salaam today, the Minister for Health and Social Welfare, Professor David Mwakyusa, urged the new Council to set up a participatory problem-solving strategies that would be used by the research findings.

Prof. Mwakyusa commended the NIMR for generating numerous scientific evidence that have contributed to policy development which he said was the basis for decision making in disease management and prevention in the country.

The Minister said the government was fully committed to improving NIMR’s performance in advancing socio-economic status and eradicate poverty in this globalisation era.

He urged the new Council to set up a participatory problem solving strategy to help make the most of research findings in policy formulation to solving health problems.

He said the growth of NIMR, which has made rapid progress in capacity building from its initial 13 scientists in 1980 to 130 to-date, was due to good leadership and efficiency in setting out collaborative measures with local and international partners.

NIMR Council’s new Chairman, Professor Samuel Maselle, pledged to work collaboratively with the ministry in reviewing health policies in order to meet health needs of marginalised groups, improving management and raise health standards as per Millennium Development goals.

Earlier, NIMR’s Acting Director General, Dr Mwele Ntuli Malecela said that her institution was facing various shortcomings including the lack of research funds, insufficient laboratories and other necessary equipment.

Dr Malecela called upon the government to improve NIMR’s research budget to reduce the 100 per cent dependence to donor funding. He was confident that with sufficient funds, the institution would be more free and efficient.

Ndugu yangu mtoa mada hili bandiko ni moja wapo linapoonyesha jinsi tulivyo na wanasayansi lakini wasiokuwa na budget. Tukipigana na kuelekeza fedha zetu kidogo katika mambo ya msingi tutalikwamua taifa hili. Ile budget ya chai tu ya wanono wa serikali ingeelekezwa kwenye utafiti pangekuwa mwanzo mzuri. Sasa hapa wizara imeahidi kutoa 2% ya budget ya wizara ya afya, hii ikiwa na maana wizara nyingine kama hazitaona umuhimu wa kufanya hivyo, basi hakuna kitakachotekelezwa kwa kuwa waziri hajajisikia kucheka.

Swala la msingi hapa ni serikali kutenga sehemu ya budget yake (say 2% of national bidget) kwa ajili ya utafiti. Ikiwa hivi hata kama kuna upungufu wa fedha/budget basi utafiti utakuwa na fedha kwani hawatahitaji waziri ajisikie roho yake ikiwa tamu ndio atoe fedha
 
Wakati tunasoma sekondari, baadhi ya wanafunzi walikuwa hawana mpango wa kujibidisha kusoma kwa vile 'wanasomewa'.

The way we are treating science and technology is similar kwamba wapo watu tunaotarajia wawe serious na science na technology 'kwa niaba yetu'.
 
Nina wasiwasi kwamba hapa JF hata walioishia std 7 wanatoa comments za vitu wasivyo jua. Huwezi kulaumu wataalamu kwa uzembe na ujinga wa serikali ya CCM inayofadhili wanajimu na kusahau wasomi wake!

Nakuunga mkono mkuu Weberoya, Prof. I.B. Mshoro wa UDSM pale Mechanical alifanya utafiti na aka re-design combuston chamber ya engine na hivi tunavyo zungumza engine zinazo tumia design yake ziko sokoni lakini waliofadhili utafiti ni waingereza.
 
Kwani scientist wanakuwa na elimu gani?, bill gate alidisgn operating system na Microsoft Corp, ana elimu gani?

What I know hao jamaa wa UDSM ni matokeo ya watanzania wengi tunaosoma bila kuwa na direction tunataka kufanya nini, in the end tunaishia kuwa walimu, na hizo PHD si issue kuwa ni wanasayansi, wanaweza kubuni cho chote, walizipata for the sake of promotions ktk fani zao za ufundishaji.

Mkuu kama hujui kitu si ukae kimya?? Nani kakwambia PhD unaipata kwa promotion kazini??
 
Michango yote mizuri na nimeipenda hasa ule wa waberoya umechanganuliwa vizuri sana na nimegundua kuwa wengi wanaona serikali haitoi kipaumbele kwenye sayansi kwa ujumla pamoja na kwamba iliamua kuiundia wizara maalum.
Sasa swali langu ni hili, je serikali yetu inaweka kipaumbele kwenye nini? au niulize hivi, je sisi watanzania kipaumbele chetu ni kipi?
Nakumbuka enzi zile kulikuwa na malengo ya kila miaka mitano mitano. Siku hizi sisikii kitu kama hiki. Je hapo tunakwenda tu bila malengo? je kama yapo evaluation ikoje?
Kwa mfano sioni mantiki hata siku moja na sintabaki kuiona kama viongozi wetu wataendelea kupanga mstari nje ya nchi wakitafuta matibabu kwa pesa nyingi sana huku pesa hiyo ingeweza kuboresha hospitali zetu hapa na wananchi wengine wakapata huduma nzuri kama wanazohitaji hawa viongozi wetu wanaojidai wanataka kututumikia.
Vipaumbele vyetu ni vipi?
 
Nina wasiwasi kwamba hapa JF hata walioishia std 7 wanatoa comments za vitu wasivyo jua. Huwezi kulaumu wataalamu kwa uzembe na ujinga wa serikali ya CCM inayofadhili wanajimu na kusahau wasomi wake!

Nakuunga mkono mkuu Weberoya, Prof. I.B. Mshoro wa UDSM pale Mechanical alifanya utafiti na aka re-design combuston chamber ya engine na hivi tunavyo zungumza engine zinazo tumia design yake ziko sokoni lakini waliofadhili utafiti ni waingereza.
Magezi, katika walimu ambao ninawaheshimu kwa kujua wanalolifanya one of them ni huyu mkuu wa chuo cha ardhi sasa hivi Prof Mshoro.Na nimesikia pia watu wengi waliobahatika kusoma materials handling and design wakimsifu kama ni mwalimu ambaye alifundisha wanafunzi kufikiri kama wahandisi na kufanya kama wahandisi.
Kuna jamaa mwingine ametoka sasa hivi anaitwa Prof. Materu. Naye alikuwa ni mwalimu makini aliyetaka kuona baadae wanafunzi wake wanatoa mchango wa kueleweka kwa Taifa hili.
Isipokuwa ni nadra sana kuwapata watu kama Prof Mshoro. Pale engineering kumejaa wababaishaji kibao.Wengine wanataka mkiwaona sura tu muanze kutetemeka. Ni kutukuza egoes zao tu bila kujari kama wako pale kuandaa wahandisi watakao toa mchango kwa Taifa letu.
 
Duh hiyo orodha imenitisha mkuu,ni ndefu sana, hao wote wangeapply yale waliyosoma na kufanyia reseach hadi wakapata hizo Phd mbona tungekuwa mbali, lakini bahati mbaya research walizofanya ni kwa ajili ya kupewa tu vyeti ila siyo kuyafanyia kazi, make sidhani hata hao wenye Phd za Mechanica Engenering wanaweza hata kutengeneza bajaj achilia mbali Toyota Corola. Niyo yale yale Mkuu analia kila siku eti nchi haina wanasheria wa mikataba ya kimataifa. Tatizo ni mfumo mzima wa elime tangu darasa la kwanza tunafundishwa zaidi kufaulu mitihani na kupata kazi nzuri.
 
pamoja na madigrii yote hayo bado mtu kama huyo anaenda kwa mganga, unategemea atavumbua nini zaidi ya kuvizia posho
 
Tangu nijiunge na JF leo ndo nimesom kitu cha kunitia nguvu, kweli JF ni hazina la VIchwa, kaka hapo juu WABEROYA hakika umechambua na sina shaka kama huna Masters basi una PdD MUNGU akubaliki kaka umefafanua vya kutosha.

Wasomi wote wa tanzania wanafahamu kinachoendelea SERIKALINI na kama uwezo wa akili wanao mkubwa tu, yaani wa tZ ni vichwa. na kwa kuwa ni vichwa wanasoma nyakati, WANAWAZA, huu wakati unahitajika kitu gani, basi fasta wanajiunga huko huko. HEsabu vichwa yaan ma prof na MA DR walio kwenye bunge letu ndo utajua wanasoma wakati, na kwa taarifa yako hata vijana mashulen wanawaza Siasa ndio inayolipa kuliko kingine hapa Tanzania.

Masomo ya SAyansi yamepoteza mvuto kwa kiasi kikubwa wakati zamani ukisoma art ulikuwa unataniwa eti unasoma masomo ya kike, yaani Sayansi iliheshimika sana.

Lakini mimi siwezi kuwalaumu wasomi wa Tanzania, kwa kuwa wako chini ya serkali, serikali ndo inaamua na ina nguvu kubwa ni lazima waendane nayo kwa kila inachokihitaji.
Mimi binafsi sifurahii kuona kila jengo linalojengwa kubwa hapa kwetu akipewa tenda mchina hata barabara, Watanzania wanaweza kabisa.

Kama wakipewa kisha wabanwe kiasi kwamba kazi itakoyofanyika ikiwa ya ubabaishaji aliyesimamia atengwe na jamii wala asipate huduma yoyote nje na ndani ya nchi na wala asitembee popote, kila kitu kitaenda sawa, la maana wasomi wa TZ wawezeshwe kisha walipwe vizuri.

Unajua wakati wa utawala wa awamu ya pili wafanya biashara walivuma sana mpaka wafanyakazi kadhaa wakaacha kazi, mfanya kazi alikuwa hathaminiwi hata kidogo, maisha yalikuwa magumu sana hasa wale wenye kazi za chini kama walimu na maness.

Awamu ya 3 wafanyakazi wakathaminiwa kupita maelezo wafanya biashara wakaanza kuumia, manake KODI za biashara ziliwatesa wengi walifirisika, hadhi ya mfanyakazi ikakua mpaka leo iko juu, ingawa wafanya biashara siku hizi nao hawajambo.

Ninachotaka kusema ni kwamba, Serikali ndiyo inayoweza kuamua kifanyike kitu gani cha kimaendeleo na kukihamasisha kwa nguvu. Si unaona sasa KILIMO kwanza imehamasishwa na sasa matrekta kibao yamenunuliwa.

WAsomi wanachokifanya ni kuangalia mkuu wa kaya anapenda nini kisha na wao wanaungana naye.

Hata watoto nyumbani wanamsikilizia baba yao, wakishamsoma, tayari wamemaliza.


 
Back
Top Bottom