UDSM wameweza,wenzetu wa USA mlishindwa nini?

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Jana kulikua na hali tete pale UDSM hasa baada ya wanafunz wa chuo hiko kuanza kunyanyua mabango na pia kumzomea!kwao wao ndo ilikua ndo njia pekee ya kufikisha ujumbe huo kwani hawakua na njia ya kumweleza mr jk matatizo yao,
Lakin tunakumbuka kuwa wenzetu waishio USA walikuja na mbwembwe nying kuwa wataandamana ili kufikisha ujumbe kuwa wao hawaridhk na utawala wa mzee wa kaya,ila mwisho wa siku walikuja na excuse lukuki,kwa kilichotokea UD japo wengi tulishuhudia thru media ila ni ujumbe murua sana kwa watanzania wa kada zote,maisha ya udsm hasa kwenye malazi ni kizungumkuti,kukosa mikopo si wimbo wa jana au juzi,wana'udsm hongera zenu,UJUMBE UMEFIKA NA SALAM ZIMEPOKELEWA
 
mkuu Bajabiri walioko Us wengi wao ni wale waliopelekwa na hao hao sasa wewe unafikiri nini kitatokea zaidi ya kuleta excuse..
 
Walioko USA ni watoto wa viongozi wanaofaidi nafasi za walalahoi, waandamane ili iweje? Kwani umeona watoto wangapi wa mawaziri wapo local universities?, wote wako USA et al................
 
Hongera wana UDSM.
wale wa usa ni vilaza tena wanafikiria kwa kutumia masaburi yao.
 
Walioko USA ni watoto wa viongozi wanaofaidi nafasi za walalahoi, waandamane ili iweje? Kwani umeona watoto wangapi wa mawaziri wapo local universities?, wote wako USA et al................

au walikua wanapima upepo?
 
Hongera wana UDSM.
wale wa usa ni vilaza tena wanafikiria kwa kutumia masaburi yao.

Tena ni wa vivu hata kuyatumia masaburi ndiyo maana wakakimbia nchi.SISI tupo tunakomaa mpaka tung'oe utwala wa Magamba na kuua mtu kama alivyouawa Gaddafi, na wao walioko USA watashuhudia baba zao tutakavyowasurubu.wakae mkao wa kula
 
yaani wale jamaa wa USA waliliteka jukwaa,hahahah
 
Walioko USA ni watoto wa viongozi wanaofaidi nafasi za walalahoi, waandamane ili iweje? Kwani umeona watoto wangapi wa mawaziri wapo local universities?, wote wako USA et al................

U r such a genius.....Hivi hamuoni hata mwenyekiti wa diaspora huko ni nani na hao viongozi huko Us.?
 
Back
Top Bottom