samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 213
Napenda kujua UDSM waliwakilishwa na kiongozi gani katika uzinduzi wa UDOM uliofanyika jana. Nauliza kwa sababu wakuu wa vyuo mbalimbali vya umma na binafsi walialikwa lakini mabosi watatu wa juu wa UDSM walikua dar kwenye pilikapilika za maadhimisho ya miaka 50 ya chuo hicho.. Hii inaashiria nini?