UDSM Waliwakilisha na nani kwenye uzinduzi wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ??

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Napenda kujua UDSM waliwakilishwa na kiongozi gani katika uzinduzi wa UDOM uliofanyika jana. Nauliza kwa sababu wakuu wa vyuo mbalimbali vya umma na binafsi walialikwa lakini mabosi watatu wa juu wa UDSM walikua dar kwenye pilikapilika za maadhimisho ya miaka 50 ya chuo hicho.. Hii inaashiria nini?
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,167
Napenda kujua UDSM waliwakilishwa na kiongozi gani katika uzinduzi wa UDOM uliofanyika jana. Nauliza kwa sababu wakuu wa vyuo mbalimbali vya umma na binafsi walialikwa lakini mabosi watatu wa juu wa UDSM walikua dar kwenye pilikapilika za maadhimisho ya miaka 50 ya chuo hicho.. Hii inaashiria nini?

Alikuwapo Bunsen Burner.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom