UDSM wakaribia kuwa RAIA wa Tanzania


VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
5,989
Points
2,000
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
5,989 2,000
Mchakato wa kugawa vitambulisho vya Uraia wa Tanzania umeshika kasi ambapo zoezi la kuchukua alama za vidole kieletroniki limefanyika jana UDSM. Hiyo ni hatua ya mwisho kuelekea kugawiwa kwa vitambulisho hivyo kwa 'raia' rasmi wa Tanzania. Zoezi hilo liliwahusisha wafanyakazi wa UDSM ambao walishajaza fomu za kuomba vitambulisho hivyo miezi michache iliyopita.

Kwani,ambao hatapata vitambulisho hivi hatakuwa raia wa Tanzania? Just curious
 
M

mageuzi1992

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2010
Messages
2,511
Points
0
M

mageuzi1992

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2010
2,511 0
Hili zoezi sijalielewa mbona wenzangu na mimi badoooo huku vijiweniiii?
 
Nyanidume

Nyanidume

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
2,340
Points
2,000
Nyanidume

Nyanidume

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
2,340 2,000
tutakaokosa vitambulisha tutaanzisha jamhur yetu!
 
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
5,989
Points
2,000
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
5,989 2,000
Hili zoezi sijalielewa mbona wenzangu na mimi badoooo huku vijiweniiii?
Elimu kwanza! Kilimo kwanza! Siasa kwanza! Pesa kwanza! Chagua msemo unaotumika kwasasa
 
M

malivawan10

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Messages
536
Points
250
Age
29
M

malivawan10

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2012
536 250
Elimu juu ya muhimu wa vitambulisho haijatolewa du
 
Az 89

Az 89

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Messages
1,613
Points
1,250
Az 89

Az 89

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2011
1,613 1,250
Na wanafunzi je wamepata? isije ikatokea kuwa ni tekniki ya wakubwa huko mbeleni bila kitambulisho hupigi kura, na wanafunzi hawajapata vitambulisho bado
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,642
Points
2,000
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,642 2,000
Sisi wa Mtwara na Lindi hatuchukui vitambulisho maana tunatarajia kuanzisha Jamhuri ya Watu wa Kusini mwa Tanzania.

Tuko kwenye mazungumzo na watu wa mikoa ya Ruvuma, Mbeya na Katavi ili nao wajiunge na jamhuri yetu!!

So vitambulisho vyenu gawaneni hukohuko
 
mathematics

mathematics

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Messages
3,306
Points
1,250
mathematics

mathematics

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2012
3,306 1,250
ungeandika wakazi wanaoishi udsm na viunga vyake sio "udsm"
 
Kyenju

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Messages
4,573
Points
1,500
Kyenju

Kyenju

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2012
4,573 1,500
Sisi wa Mtwara na Lindi hatuchukui vitambulisho maana tunatarajia kuanzisha Jamhuri ya Watu wa Kusini mwa Tanzania.

Tuko kwenye mazungumzo na watu wa mikoa ya Ruvuma, Mbeya na Katavi ili nao wajiunge na jamhuri yetu!!

So vitambulisho vyenu gawaneni hukohuko
Mbeya na Katavi ujinga huo hawana.
 

Forum statistics

Threads 1,285,938
Members 494,834
Posts 30,879,769
Top