Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 246
Tetesi toka Mabibo hostel. Kundi la wanaharakati wametoka mikoani kwa jili ya kutetea first yearz 1600 waliokosa mkopo first year mtaokuja UDSM mjipange Kunji
Tetesi toka Mabibo hostel. Kundi la wanaharakati wametoka mikoani kwa jili ya kutetea first yearz 1600 waliokosa mkopo first year mtaokuja UDSM mjipange Kunji
No research no right to speak..umeropoka
Kwanini wasiende UDOM kule ni Mara 3 ya udsm yani 4800,unabisha subiri uone chuo wakifungua
Kwanini wasiende UDOM kule ni Mara 3 ya udsm yani 4800,
Ni sahihi kabisa tunaomba muendelee na zile harakati zenu za kudai pesa ya shoe polish mutasaidia sana vyuo vingine,mukishafanikiwa anzisheni mgomo wa nyongeza ya boom kwa ajili ya sigareti .tehe tehe tehebora iwe ivo manake udsm ni ktov na inasikilizwa kama ule mchongo wa kuongeza hela ya boom ilianzia wap? kama vp wafanye kwel ili na ss wa vyuo vngne 2nufaike.. wanao beza taarifa hi ujue wanamkopo!!!