UDSM WAAPA kuandamana Kupinga Dowans wadai Intention to Appeal si kesi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDSM WAAPA kuandamana Kupinga Dowans wadai Intention to Appeal si kesi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Janja PORI, Oct 28, 2011.

 1. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  kwa taarifa nlizonazo toka kwa wanaharakati Leo wameitisha Rev Square na misimamo ni kwamba wataandamana hata kama yamepigwa marufu. Wanaharakati wametoa waraka wakidai kama ni Al shabab basi na Mech ya simba na yanga ifutwe ↲
  Wanaharakati wanadai kwamba Kova kasema kuandamana ni kuingilia uhuru wa Mahakama Ila wanadai kwa Rex attorney wamepeleka Intention to appeal hivo hyo sio kesi.↲
  ngoja tuone hiyo kesho harakati
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Watangazie umma wa watanzania wote waliofadhaishwa na hili dili kwa muda mrefu kuwa maandamano yako pale pale!! Kesho hata mie niko barabarani na bendera ya taifa, baadae naelekea kwenye mechi kumla mnyama.
   
 3. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Mtaalamu wa Intelijensia na mtalaam wa kudhibiti Al-shaababu wako kazini. Kisa, kuteuliwa kwao na RAIS ambaye ni sehemu ya DOWANS. Wanaogopa kumwaga unga wao. Mwanasiasa ana nguvu kuliko mtendaji wa umma. SHAME ON YOU ALL. hata hivyo, cku zao wote zinahesabika.
   
 4. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Waaaaaoooooo, kesho ntafurahi sana nikipigwa mabomu na kuumia kwa ajili ya kupinga uchafu huu, hawa wapumbavu wasitufanye watanzaia ni wajinga. washenzi saaaaaaaaaana hawa polisi, kama wanahasira na hawa alishabab wawafuate hukohuko somalia, waache sisi tuandamane hapa. nakama hao mbwa wa kova hana hamu ya kulipua mabomu na kurusha risasi za moto waende kuungana na wanaume wa kenya sio kuja kuwapiga wananchi wasiokuwa na silaha wakiwa katika harakati za kulikomboa taifa.
  naomba modereta mnisamehe nnahasir
   
 5. k

  king11 JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuna mahusiano ya akount za REX na viongozi wenu wa serikali, Rex pia wanahusiano na Dowans wanawasaidia kuwashauri , kwa hiyo rex ni double agent
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Hivi tz kuna serikali? Mdhibiti wa dollar ya kimarekani tanzania ni nani? Al shabab au nani?
   
 7. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Rex si ni ya yule Balozi au aliekuwa balozi wetu UK? Ni wale wale tu.

  Watu waandamane, nia ya kuoa sio kutangaza ndoa. Kila mtu ana intentions zake lakini sio kila mtu anafanyia hizo intentions kazi, zingine hubaki kuwa intentions mpaka mwisho.
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Sasa watuambie kama yapo ama hayapo...manake mi nishaandaa bango hapa
   
 9. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Coordination zote zifanyike kwa mitandao ya simu hawa jamaa waje washtuke tayari lundo la watu lipo jangwani na wanatema sumu kuhusu hii dowans na uchafu wake
   
 10. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  yani hii serikali legelege na maaskari legelege
  hii ndio sababu ya mtu mwenye akili timamu???
  ss na tuvunje makusanyiko yote nchini Tz kwa sbb ya al shabab ndipo tutaelewa

  maandamano yawepo tu!!
   
 11. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Rex anaappeal wapi?mi nimetoka mkoa nimerudi home kuja kuandamana ili hizi takataka zilizoingia mkataba wa dowans kuchukuliwa hatua,halafu pia hawa Rex Attorney nao inabidi tuwapandishe kizimbani maana ni moja ya watu walioishauri TANESCO kuingia mkataba wakishoga.
   
 12. T

  TERREL Member

  #12
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nilifikiri Polisi kazi yao ni KULINDA raia waTZ na kuona AMANI inaprevail. Kumbe wao wanazua hofu kwa WANYONGE wanaodai HAKI. Ni bora wakawa na BUSARA wakasimamia angalau haka KASUNGURA kadogo ili kila mtu aonje hapo! Na sio otherwise
   
 13. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  kama kawaida yangu nina andamana wao wanipige tu mabomu hao vibaraka.
   
 14. j

  jigoku JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Nauliza hivi,Kova ndo ana mandate ya kutangaza hali ya hatari Tanzania?Je Al shabaab wana hamu na watanzania waishio DAR tu?Je Arusha hakuna watu wala mikusanyiko?je Mwanza nako hakuna mikusanyiko?huko Mbeya na Dodoma vipi?okay kama kuna hali ya hatari ndani ya nchi ya Tanzania kova ndo mwenye mamlaka ya kututangazia?na je kama ni suala la mkusanyaiko vipi kuhusu game la watani wa jadi pale Taifa?Vipi kuhusu Night club,vipi kuhusu Ubungo Terminal,na je hali ikiwa hivi misikitini na makanisani vipi watu waendelee kwenda kwenye ibada?Au hawa Al shaabab wanataka damu ya waandamanaji tu?Noooooooo,big NO kwa hili Kova tueleze ukweli umetumwa kuokoa kitu gani?Je kazi zitafanyika kweli hapa TZ kama ndo hivyo?je kama wanataarifa za ki-intelijensia wamezipataje bila kuwa na taarifa za wanahusika?je kun-measurements gani za kuzuia shambulio lisitokee kwa kuwa wameshapata taarifa?au mpaka tulipuliwe ndio waanze kuwatafuta wawakamate?kama wanataarifa basi maandamano yetu yaeendelee kwa sababu watakuwa wameshawdhibi hawa Alshaab,wa TZ huyu kamanda kajiabisha,haya sasa wanaojua sheria wanasema hilo ni kusudio sio kesi sasa hapo imekaaaje?jamani siku hazigandi.mwisho wa haya utafika tu.
  Kesho wao ndo watatulipua maana wao na Al shabaab mimi siwatofautishi hata kidogo,wao ni Al shabaab walio na miliki ya CCM.
   
 15. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  [h=2]90 % ya viongozi wetu wenaugua magonjwa sugu , wanashindwa kufanya maamuzi[/h]
  Mapema mwaka huu viongozi wetu wa juu wakiwemo wabunge,mawaziri, majaji , wakuu wa mikoa, watendaji wakuu wa serikali walimiminika loliondo wakitaka kutibiwa magonjwa sugu ukiwemo ukimwi.mch ambilikile mwasapila (babu) aliwalaghai vigogo wa serikali na serikali yote kuamua kuelekea huko.
  Magonjwa sugu yaliyotajwa ni:
  1.ukimwi
  2.kisukali
  3.pressure
  4.
  5.
  Taarifa za daktari zinaonyesha kuwa watu wenye magonjwa sugu huwa wanhasira kali na kushinda kufanya maamuzi magumu na kukosa mipango endelevu. Wanauza mali hovyo na kutapanya rasilimali

  pamoja na kwamba dawa ya babu haitibu ukimwi lakini amefanikiwa kutupatia takwimu za ukweli kuhusu mtandao wa magonjwa sugu kwa viongozi wetu ambapo wametumia ndege kwenda loliondo na magari ya serikali.
  Ni dhahili kuwa viongozi wetu wanao tuongoza ni wagonjwa wa magonjwa sugu kiasi cha kushindwa kufanya maamuzi mazito na mipango ya maendeleo y mda mrefu.

  Viongozi wetu wanahofu ya kufa kutokana na magonjwa yao na ndio maana wanauza madini, wanauza ardhi, wanauza wanyama hai mapema ili kukusanya pesa mapema.
  Wengi tunajua mtu akiwa na hofu ya kufa kutokana na ukimwi huwa anauza mali hovyo hovyo na maamuzi yake siyo mazuri.

  Mfano mzuri ni maamuzi ya kulipa dowans , jambo ambalo ni dhahili kwamba wanaofanya hivyo hawana mipango mirefu ya maisha katika taifa hili.
  Viongozi wa ccm wanakata kuachia madaraka kwa watu wengine wakihofia hatima yao baada ya kuuza nchi na wanyama nje ya nchi. Wametapanya mali hovyo kwasababu hawana mawazo mazuri, wanang'ang'ia madaraka na kutaka watoto wao walithishwe urais , ubunge, na uwaziri ili kulinda uhalifu waliofanya.wanahaha kuiba kura ili waonekane wanapendwa na wananchi.


  Mgogoro uliotokea libya ni sawa na mgogoro utao tokea tanzania 2015.
  Huko libya gadafi alitaka kuachia madaraka mikononi mwa watoto wake ambao nao wamejilimbikizia mali lakini raia wema wakamuonya lakini hakusikia.


  Hapa tanzania kuna juhudi kubwa za watawala wetu kutaka kurithisha madaraka kwa watoto wao ambao wamejirimbikizia mali katika vituo vya mafuta, migodi , maliasili, wameuza ardhi na sasa wanahaha kuiba kura.!!!!

  Kuna harakati kubwa kwa watu ambao wametuhujumu , wametuibia , wametunyonya na sasa haohao ndio wameunda mitandao ya urais 2015. Wanatumia fedha walizotuibia kutuhonga ili tuwape kura. Wanatumia pesa hizo kuwahonga wachungaji, wamewanunua wachungaji na kufanya kampeni makanisani.


  Watu hawa wakiugua tu utasikia walalahoi wanalalamika na kupiga kelele kuwa wamepewa sumu lakini safari ya loliondo walikwenda bila mtu kulalamika.wanasafiri kwenda india kutibiwa baada ya loliondi kupoteza umarufu lakini wanapo ondoka hawasemi wanaumwa nini !!!!!! Mauaji ya albino yanaongezeka ushirikina huku serikali ikiongeza kasi ya kutoa vibali kwa waganga .waliopo kwenda loliondo hawakusema wanaumwa nini!!! Lakini safari ya india ina maneno mengi


  ni bora mbunge ,waziri, vigogo wanapougua waangalie ukweli wa afya yake sio kusingizia sumu .

  Pia hapa kuna ubaguzi mpiga kura akiugua anafia nyumbani bila kufika hata dispensary, na hata akienda huko anakosa dawa.

  Wajawazito wametengewa bajaji ambazo bado zinasuasua.

  Waziri akiugua anakimbizwa haraka kwenda india na anagharimiwa fedha nyingi inayo weza kutibua zaidi ya walalahoi 100 hapa!!!

  Wakati wa kupiga kura wabunge wanapiga magoti kuomba kura, wakimunyima anachakachua!!! Je, ni haki????​
   
 16. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mbona Arusha watu walijaa mahakamani????? Polisi waache za kuleta, wanaogopa nini watu wakiandamana, kisingizio eti ni Al Shabab ukweli lazim ujulikane DOWANS ni nani????????????
   
Loading...