UDSM UDSM UDSM wanataka nini UDSM

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
Break news Wanafunzi wametakiwa kulipa ada zao ndo wapate Boom lao ifahamike pesa imeingia leo Udsm bt Maboko katoa tamko No bum bila Ada Je? Hawajui kwamba watoto maskini mh wanategemea bum mh Habari kamili waziri wa Mikopo Daniel Amezitoa Wanaharakati mnasemaje
 
Kupewa bum kuna uhusiano vipi na ada? Si watawabana kwenye registration?
 
break news wanafunzi wametakiwa kulipa ada zao ndo wapate boom lao ifahamike pesa imeingia leo udsm bt maboko katoa tamko no bum bila ada je? Hawajui kwamba watoto maskini mh wanategemea bum mh habari kamili waziri wa mikopo daniel amezitoa wanaharakati mnasemaje

si walijifanya kuchagua ccm wacha wavune walichopandaa unaweza panda mahindi ukavuna maharage??tena educated bana wanachagua ccm m niliona enzi za kina mwanyika na yule charles tunawapigia debe jamani tunataka mabadiliko wengine tukatoa mpaka na magari yetu jamani ubungo tubadilike loh...kura zilizozidi za wanafunzi wa chuo ..la hasha
polen lakini hii ndio sisiemu
 
Mkuu huwa unaandika ukiwa una haraka sana,I'm sorry to say huwa nashindwa kuelewa mabandiko yako,sijui ni mimi tu?
 
Hapo kwa kweli hawatendi haki. Nadhani wanasubiri vurugu tu..
 
kwa kuwa chamachenu mlichokiweka huko juu kimesema hayo lazima mlipe ada ndo mpate mkopo na bado mtaona mengi zaidi ya hayo, na mkiandamana mtakula mijeledi kama kawa.
 
si walijifanya kuchagua ccm wacha wavune walichopandaa unaweza panda mahindi ukavuna maharage??tena educated bana wanachagua ccm m niliona enzi za kina mwanyika na yule charles tunawapigia debe jamani tunataka mabadiliko wengine tukatoa mpaka na magari yetu jamani ubungo tubadilike loh...kura zilizozidi za wanafunzi wa chuo ..la hasha
polen lakini hii ndio sisiemu

Ewaaaaaaaaaaaaaaaaa patamu hapo, na si tu kuchagua CCM bali pia wanaunga mkono na kutaka mfumo uliopo uendelee, maadui hapa ni wawili MFUMO na waliouweka mfumo kwani sasa wanataka "watafute miavili mingine wajifiche" wagombee, watu walewale, mawazo yaleyale na mfumo utakuwa ule ule
 
Sasa hapo ndo wametangaza kunji rasmi kudadeki,hv wenyewe hawajui kuwa ce 2nategemea hlo bum ili 2lipie hzo ada??patachimbika hapo,ngoja 2rudi 2..huyo maboko mbona atastaafu kabla ya muda wake.
 
Break news Wanafunzi wametakiwa kulipa ada zao ndo wapate Boom lao ifahamike pesa imeingia leo Udsm bt Maboko katoa tamko No bum bila Ada Je? Hawajui kwamba watoto maskini mh wanategemea bum mh Habari kamili waziri wa Mikopo Daniel Amezitoa Wanaharakati mnasemaje

na vp kw wale wanaopewa asilimia 100%!?
 
Tena nina hamu na kunji,cjui nilianzshe mwenyewe huku kitaa...
 
Back
Top Bottom