MwanaNkasi
Member
- Sep 20, 2016
- 27
- 4
- Thread starter
- #41
Niliacha kusoma kitambo, we umesoma umepata nnMbona haueleweki wewe?Wewe ni Msomi???

Waambie wasome hao, hasa hao wa chadema wanao potezwa na kijana Charles WilliamHahahahaaaa. Gitogito, mvumilie huyo. Na anaweza kuwa anataka kuwa mwalimu. Sasa pata picha, watoto wetu watamuelewa kweli kama watu wazima tumekwama? Hideous!
Upuuzi mtupu someni wajinga vilaza wakubwa.
we mhadzabe acha upuuzi hyo taarifa haijawekwa clearly na hyo informer lakin kuna mambo ndani mwenye akili timamu anaweza kuelewa yanayoendeleaHalafu kuna watu bado wanaamini kusoma UDSM ndio unaonekana "kichwaa" hahahahahaha kazi ipo! (Allumn wa chuo hiki sitaki povu)

we mhadzabe acha upuuzi hyo taarifa haijawekwa clearly na hyo infoHalafu kuna watu bado wanaamini kusoma UDSM ndio unaonekana "kichwaa" hahahahahaha kazi ipo! (Allumn wa chuo hiki sitaki povu)
Halafu kuna watu bado wanaamini kusoma UDSM ndio unaonekana "kichwaa" hahahahahaha kazi ipo! (Allumn wa chuo hiki sitaki povu)
vipi kuhusu hii Issue ya kutoa hongoView attachment 798448
Hii ni petition au ni plan ya petition? Au wewe ndiye uliyefanya fujo kwa kumnyang'anya mhusika na kukimbia nayo kabla hajaijaza petition hii? Mbona iko wazi!Sio siri tena baada ya moja ya inayosadikiwa kuwa document iliyosheheni hoja za mmoja wa wagombea anaedai kuwa ndiye aliyeshinda uchaguzi wa URAIS UDSM Bwana Evarist Matulanya ku leak, kulingana na maelezo ya moja ya wajumbe wa Judicial organ iliyoketi siku ya Alhamisi.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa organ hiyo ambae pia ni kiongozi wa BAVICHA bwana Kinemo alianzsha fujo ili kuuzima mchakato wa usikilizwaji wa kesi ikiwa ni pamoja na kumtolea lugha chafu Mshauri wa wanafunzi ili aweze kuondoka kikaoni hapo ( kulingana na kanuni zao, mshauri anapotoka nje basi shughuli nzima inakuwa batili).
Inasemekana huu ni mpango ulio andaliwa na master plan wa shughuli za CHADEMA ndani ya viunga vya chuo kikuu cha Dar es salaam, bwana Charles William ambaye pia ni mfanyakazi wa gazeti la Mwanahalisi.
Kumekuwa na madai kuwa ktk uchaguzi huo aliyetangazwa mshindi hakushinda overall hata colleges moja kati ya 12 , japo supporters wake wanajinasibu kuwa siri ya ushindi anaijua bwana Kinemo.
View attachment 798150
wewe ulikimbia somo la mwandiko na kusoma, kajipange uje upya na bandiko lako au omba mtu akusaidie kuliwasilisha hili.Sio siri tena baada ya moja ya inayosadikiwa kuwa document iliyosheheni hoja za mmoja wa wagombea anaedai kuwa ndiye aliyeshinda uchaguzi wa URAIS UDSM Bwana Evarist Matulanya ku leak, kulingana na maelezo ya moja ya wajumbe wa Judicial organ iliyoketi siku ya Alhamisi.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa organ hiyo ambae pia ni kiongozi wa BAVICHA bwana Kinemo alianzsha fujo ili kuuzima mchakato wa usikilizwaji wa kesi ikiwa ni pamoja na kumtolea lugha chafu Mshauri wa wanafunzi ili aweze kuondoka kikaoni hapo ( kulingana na kanuni zao, mshauri anapotoka nje basi shughuli nzima inakuwa batili).
Inasemekana huu ni mpango ulio andaliwa na master plan wa shughuli za CHADEMA ndani ya viunga vya chuo kikuu cha Dar es salaam, bwana Charles William ambaye pia ni mfanyakazi wa gazeti la Mwanahalisi.
Kumekuwa na madai kuwa ktk uchaguzi huo aliyetangazwa mshindi hakushinda overall hata colleges moja kati ya 12 , japo supporters wake wanajinasibu kuwa siri ya ushindi anaijua bwana Kinemo.
View attachment 798150
Mwanafunzi akiwa mmbea hata darasani hafanyi vizuriSio siri tena baada ya moja ya inayosadikiwa kuwa document iliyosheheni hoja za mmoja wa wagombea anaedai kuwa ndiye aliyeshinda uchaguzi wa URAIS UDSM Bwana Evarist Matulanya ku leak, kulingana na maelezo ya moja ya wajumbe wa Judicial organ iliyoketi siku ya Alhamisi.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa organ hiyo ambae pia ni kiongozi wa BAVICHA bwana Kinemo alianzsha fujo ili kuuzima mchakato wa usikilizwaji wa kesi ikiwa ni pamoja na kumtolea lugha chafu Mshauri wa wanafunzi ili aweze kuondoka kikaoni hapo ( kulingana na kanuni zao, mshauri anapotoka nje basi shughuli nzima inakuwa batili).
Inasemekana huu ni mpango ulio andaliwa na master plan wa shughuli za CHADEMA ndani ya viunga vya chuo kikuu cha Dar es salaam, bwana Charles William ambaye pia ni mfanyakazi wa gazeti la Mwanahalisi.
Kumekuwa na madai kuwa ktk uchaguzi huo aliyetangazwa mshindi hakushinda overall hata colleges moja kati ya 12 , japo supporters wake wanajinasibu kuwa siri ya ushindi anaijua bwana Kinemo.
View attachment 798150
Weka vitu "pwiki pangani"!Achana na hadithi eti watajua. Sasa maana ya id fake ni nini?we mhadzabe acha upuuzi hyo taarifa haijawekwa clearly na hyo info
rmer lakin kuna mambo ndani mwenye akili timamu anaweza kuelewa yanayoendelea
Hii ndio aina ya wasomi wa suku hizi hapo UDSM!...Maskini UD yetu!we mhadzabe acha upuuzi hyo taarifa haijawekwa clearly na hyo info
rmer lakin kuna mambo ndani mwenye akili timamu anaweza kuelewa yanayoendelea
Hivi kweli kwa uandishi huu bado unajitetetea kwamba unahadhi ya kusoma hapo Mlimani?we mhadzabe acha upuuzi hyo taarifa haijawekwa clearly na hyo informer lakin kuna mambo ndani mwenye akili timamu anaweza kuelewa yanayoendelea
Hahaha niko MITHivi
Hivi kweli kwa uandishi huu bado unajitetetea kwamba unahadhi ya kusoma hapo Mlimani?